Migahawa yenye vyakula Halali nchini Japan yawavutia Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Japan imeimarisha jitihada za kuwavutia watalaii na huku kukiwa na mkakati maalumu wa kuwavutia watalii Waislamu milioni moja kwa mwaka.
Ili kufikia lengohilo, moja ya hatua zilizochukuliwa ni kuanzisha migahawa yenye vyakula
Halali. Hizi hapa ni picha za baadhi ya migahawa hiyo iliyoanzishwa ili
kuwahudumia Waislamu wanaozingatia mafundisho ya dini Kiislamu kuhusu chakula.