IQNA

Iran ya Kiislamu

Wananchi waandamana kote Iran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu

TEHRAN (IQNA)- Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni...
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran

Wanaovunjia heshima Qur'ani Tukufu wanaoungwa mkono na nchi za Magharibi

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema serikali za Magharibi zinaunga mkono kuvunjiwa heshima dini za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu.
Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya

Rais wa Iran: Kuchoma Qur’ani Tukifi ni tusi kwa Dini za Abrahamu

TEHRAN (IQNA) - Rais wa Iran amekashifu kudharauliwa kwa Qur'ani Tukufu na kusema ni dharau kwa Dini za Abrahamu (Ibrahimu )
Chuki dhidi ya Uislamu

Kiongozi wa Kishia Bahrain: Kuvunjiwa heshima Qur’ani hakuna uhusiano wowote na uhuru wa maoni

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini wa Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu...
Habari Maalumu
Licha ya njama, Qur'ani Tukufu inazidi kung'aa kila siku na mustakabali ni wa Uislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Licha ya njama, Qur'ani Tukufu inazidi kung'aa kila siku na mustakabali ni wa Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza...
26 Jan 2023, 10:09
'Mgeni Katika Lango': Filamu ya Msikiti wa Muncie, Marekani yateuliwa Tuzo ya Oscar
Uislamu Marekani

'Mgeni Katika Lango': Filamu ya Msikiti wa Muncie, Marekani yateuliwa Tuzo ya Oscar

TEHRAN (IQNA) – Filamu fupi kuhusu kisa cha kweli cha mwanajeshi wa Marekani ambaye alipanga kulipua kwa bomu Kituo cha Kiislamu cha Muncienchini Marekani...
26 Jan 2023, 21:57
Jeshi katili la Israel laua Wapalestina 9 katika jinai ya kinyama mjini Jenin
Jinai za Israel

Jeshi katili la Israel laua Wapalestina 9 katika jinai ya kinyama mjini Jenin

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamevamia kambi ya wakimbizi wa Palestina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi Wapalestina 9.
26 Jan 2023, 21:11
Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya Mulla Sadra, Mwanafalsafa Mwislamu
Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /15

Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya Mulla Sadra, Mwanafalsafa Mwislamu

TEHRAN (IQNA) – Tafsir al-Quran al-Karim ni tafsiri ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa na Mulla Sadra, mwanafalsafa mashuhuri wa ulimwengu wa Kiislamu na mwanzilishi...
25 Jan 2023, 22:15
Israel kujenga nyumba  18,000 katika vitongoji haramu vya  walowezi
Jinai za Israel

Israel kujenga nyumba 18,000 katika vitongoji haramu vya walowezi

TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina...
25 Jan 2023, 22:48
Al-Azhar yatoa wito wa kususiwa bidhaa za Kiholanzi, Kiswidi
Kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Ulaya

Al-Azhar yatoa wito wa kususiwa bidhaa za Kiholanzi, Kiswidi

TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito wa kususia bidhaa za Uswidi na Uholanzi ili kukabiliana vitendo viovu vya kuvunjiwa...
25 Jan 2023, 22:30
Qatar yasisitiza kuunga mkono ukombozi wa Palestina
Kadhia ya Palestina

Qatar yasisitiza kuunga mkono ukombozi wa Palestina

TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Qatar katika Umoja wa Ulaya na muungano wa kijeshi wa NATO amesisitiza uungaji mkono wa nchi yake kwa ukombozi wa Palestina.
25 Jan 2023, 23:06
Ennahda ya Tunisia yailaumu serikali kwa kukiuka haki haki za wapinzani wa kisiasa
Hali ya Tunisia

Ennahda ya Tunisia yailaumu serikali kwa kukiuka haki haki za wapinzani wa kisiasa

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Ennahda ya Tunisia ilizitaja hukumu zilizotolewa dhidi ya mkuu wa kambi ya Muungano wa ‘Heshima’, Seifeddine Makhlouf,...
25 Jan 2023, 23:23
Qiraa ya Qur’ani ya Ustadh Abdel Aziz Akasha kwa msingi wa maana
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21

Qiraa ya Qur’ani ya Ustadh Abdel Aziz Akasha kwa msingi wa maana

TEHRAN (IQNA) – Abdel Aziz Akasha alikuwa qari wa Misri ambaye alipata umaarufu baada ya kuanzisha mtindo maalum katika usomaji wa Qur’ani Tukufu.
24 Jan 2023, 21:55
Mwanazuoni wa Qur’ani Mauritania Mohamed Mokhtar Ould Abah afariki dunia
Taazia

Mwanazuoni wa Qur’ani Mauritania Mohamed Mokhtar Ould Abah afariki dunia

TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu Mauritania ambaye amenadika tarjuma ya Qur’ani Tukufu Mohamed Mokhtar Ould Abah amefariki dunia akiwa na umri...
24 Jan 2023, 20:52
Washindi wa Mashindano ya Qur'ani ya UAE watunukiwa zawadi
Mashindano ya Qur'ani Tukufu

Washindi wa Mashindano ya Qur'ani ya UAE watunukiwa zawadi

TEHRAN (IQNA) - Washindi wa toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum la Falme za Kiarabu katika kitengo cha wanaume wametunikiwa...
24 Jan 2023, 21:25
Muungano unaolegalega wa  utawala wa Kizayuni wakaribia kusambaratika
Mgogoro katika utawala bandia

Muungano unaolegalega wa utawala wa Kizayuni wakaribia kusambaratika

TEHRAN (IQNA)-Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza hbari ya kujiuzulu kiongozi mwingine wa serikali ya utawala huo bandia na hivyo kuongeza...
24 Jan 2023, 22:12
Qari aliyekuwa maarufu miongoni mwa wanasiasa wa Misri
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21

Qari aliyekuwa maarufu miongoni mwa wanasiasa wa Misri

TEHRAN (IQNA) – Ustadh Taha al-Fashni alikuwa qari maarufu wa Qur'ani Tukufu na msomaji Ibtihal nchinia Misri ambaye alikuwa na wafuasi wengi sio tu miongoni...
23 Jan 2023, 18:31
Asiya; Mwokozi wa Musa na Mfano wa Kuigwa kwa Waumini Wanawake
Shakhsia Katika Qur'ani Tukufu / 28

Asiya; Mwokozi wa Musa na Mfano wa Kuigwa kwa Waumini Wanawake

TEHRAN (IQNA)- Isipokuwa Bibi Maryam, hakuna mwanamke mwingine ambaye ametajwa moja kwa moja katika Quran Tukufu. Lakini kuna majina yasiyo ya moja kwa...
23 Jan 2023, 18:51
Qur’ani Tukufu yavunjiwa heshima Uholanzi baada ya Uswidi
Chuki dhidi ya Uislamu

Qur’ani Tukufu yavunjiwa heshima Uholanzi baada ya Uswidi

TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Uswidi mwishoni mwa juma, kulikuwa na kitendo kingine cha kufuru kilichotekelezwa na mmoja...
24 Jan 2023, 21:45
Shirika la hisani lasambaza Misahafu 11,000 barani Afrika
Harakati za Qur'ani

Shirika la hisani lasambaza Misahafu 11,000 barani Afrika

TEHRAN (IQNA) - Taasisi ya kutoa misaada ya Uturuki ilitoa zaidi ya nakala 11,000 za Misahafu (Qur'ani Tukufu) kwa Waislamu katika nchi tofauti za Kiafrika...
23 Jan 2023, 18:18
Picha‎ - Filamu‎