IQNA

Chuo cha Kiislamu cha Shafi’ieh mkoani Isfahan, Iran

ISFAHAN (IQNA) - Inaanzia enzi za Safavid (1501-1736), Chuo cha Kiislamu (Hauzah) cha Shafi'ieh kiko katika Isfahan, kati mwa Iran.. Maandishi kwenye lango la kituo hicho yanamtaja Mohammad Shafi’ Esfahani kuwa mwanzilishi wake. Pia kunajina la Shah Abbas II (1642-1966). Seminari hiyo ya Kiislamu imeorodheshwa kama turathi ya kitaifa Iran mnamo Oktoba 1997.