IQNA

Uchapishaji wa nakala za Qur’ani Tukufu nchini Malaysia

PUTRAJAYA (IQNA) – Kituo cha Nasyrul Quran huko Putrajaya, Malaysia ndicho kituo kikubwa zaidi cha uchapishaji wa Qur'ani kusini mashariki mwa Asia. Kituo hiki sasa kinaandaa Tamasha la Sanaa la Qur'ani la Kimataifa la Restu , tukio la siku 10 ambalo lilifunguliwa Januari 20, 2023.