iqna

IQNA

Restu 
Harakati za Qur'ani Kimataifa
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia amesema nchi hizo mbili zinatarajia kuendelea kutumia 'Diplomasia ya Qur'ani Tukufu' kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3476435    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20