iqna

IQNA

niqabu
IQNA-Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunIka uso wote, maarufu kama niqabu , katika maeneo yote ya umma nchini humo.
Habari ID: 3470825    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31