Habari Maalumu
Waziri Malaysia akosoa marufuku ya Hijabu kwa wanawake wafanyao kazi hotelini

Waziri Malaysia akosoa marufuku ya Hijabu kwa wanawake wafanyao kazi hotelini

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa masuala ya Familia na Wanawake Malaysia Seri Rohani Abdulkarim amekosoa hatu ya baadhi ya hoteli nchini humo kuwapiga marufuku...
16 Nov 2017, 12:02
Baba amsamehe aliyemuua mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani

Baba amsamehe aliyemuua mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani

TEHRAN (IQNA)-Baba nchini Saudi Arabia amemsamehe muuaji wa mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani kikamilifu.
16 Nov 2017, 10:59
Kiongozi asisitiza kusaidiwa walioathirika na tetemeko la ardhi Iran

Kiongozi asisitiza kusaidiwa walioathirika na tetemeko la ardhi Iran

Tehran (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia mshikamano wa viongozi kwa wahanga wa tetemeko la ardhi katika ngazi ya utendaji...
15 Nov 2017, 09:10
Waislamu 7 wauawa katika machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

Waislamu 7 wauawa katika machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

TEHRAN (IQNA)- Waislamu 7 wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika hujuma dhidi yao mjini Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati.
14 Nov 2017, 15:29
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake yaanza Dubai

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake yaanza Dubai

TEHRAN (IQNA)- Duru a pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
13 Nov 2017, 10:11
Rais wa Uturuki amwambia Bin Salman wa Saudia, Uislamu si Milki yako

Rais wa Uturuki amwambia Bin Salman wa Saudia, Uislamu si Milki yako

TEHRAN (IQNA)- Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai...
12 Nov 2017, 10:59
Jaribio la kuwazuia Waislamu kuswali Ijumaa mjini Paris

Jaribio la kuwazuia Waislamu kuswali Ijumaa mjini Paris

TEHRAN (IQNA)-Tafrani iliibuka Ijumaa katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Ufaransa Paris, baada ya baadhi ya wakazi wa mji kujaribu kuwazuia Waislamu...
11 Nov 2017, 19:28
Rais wa Nigeria atakiwa amuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

Rais wa Nigeria atakiwa amuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

TEHRAN (IQNA)-Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametakiwa amuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anashikiwa...
10 Nov 2017, 20:34
Mamilioni katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, Karbala, Iraq

Mamilioni katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, Karbala, Iraq

TEHRAN, (IQNA)-Leo mamilioni ya watu wanashiriki katika maombolezo kwa munasaba wa Arubaini ya Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambapo kilele...
09 Nov 2017, 09:42
Magenge ya wenye chuki dhidi ya Uislamu Ulaya wapata mafunzo ya kijeshi

Magenge ya wenye chuki dhidi ya Uislamu Ulaya wapata mafunzo ya kijeshi

TEHRAN (IQNA)-Vijana Wazungu Waingereza wenye misimamo ya kibaguzi na chuki dhidi ya Uislamu wanapata mafunzi ya kijeshi, televisheni ya ITV imefichua.
08 Nov 2017, 13:13
Mkutano wa kimataifa wa Qiraa ya Qur’ani Tukufu wafanyika Istanbul, Uturuki

Mkutano wa kimataifa wa Qiraa ya Qur’ani Tukufu wafanyika Istanbul, Uturuki

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
07 Nov 2017, 11:09
Picha