iqna

IQNA

michigan
TEHRAN (IQNA)- Abdullah Hammoud ameapishwa kama meya wa kwanza Muislamu katika mji wa Dearborn jimboni Michigan ambapo amekula kiapo akiwa amewekelea mkono wake juu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474813    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/16

TEHRAN (IQNA)- Issa Shahini ni Muislamu aliyehudumu kwa muda mrefu katika Idara ya Polisi ya Dearbon, jimboni Michigan Marekani na sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa polisi katika mji huo.
Habari ID: 3474702    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu katika jimbo la Michigan nchini Marekani amelalamika kuwa polisi walimvua Hijabu baada ya kumkamata. Alivuliwa Hijabu katika kituo cha polisi wakati wa kupigwa picha.
Habari ID: 3474319    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20

TEHRAN (IQNA)-Daktari Abdul El-Sayed, mwenye umri wa miaka 32 kutoka mji wa Detroit jimboni Michigan, anaendeleza kampeni kali ya kutaka kuwa gavana kwa kwanza Mwislamu Marekani.
Habari ID: 3471177    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/16

IQNA: Daktari mwenye umri wa miaka 32 anatarajia kuwa Mwislamu kwa kwanza gavana nchini Marekani baada ya kutangaza nia ya kugombea ugavana wa jimbo la Michigan.
Habari ID: 3470875    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03