iqna

IQNA

singapore
Waislamu Singapore
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya Waislamu kutoka Singapore wanaofanya ibada ya Hija ndogo ya Umrah imeongezeka kwa asilimia 45 ikilinganishwa na enzi ya kabla ya janga la corona.
Habari ID: 3476647    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Kiislamu la Singapore (Muis) limewataka wale ambao bado hawajapata chanjo ya COVID-19 wajizuie kushiriki katika Sala ya Ijumaa kutokana na sababu za kiafya.
Habari ID: 3474863    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Singapore imetangaza kupiga marufuku kitabu ambacho kina taswira zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474506    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Sultan au Masjid Sultan katika eneo la kihistoria la Kamponga Gelam ni kitovu cha jamii wa Waislamu nchini Singapore.
Habari ID: 3474245    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Singapore wamehakikishiwa usalama wao baada ya kubainika kuwepo njama ya kushambulia misikiti nchini humo.
Habari ID: 3473606    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kiislamu Singapore (Muis) limetoa wito kwa Waislamu nchini humo kukubali chanjo ya COVID-19 wakati itakapopatikana na itakapopati idhini ya idara husika za afya kuwa ni salama kutumia.
Habari ID: 3473455    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano nchini Singapore itaruhusiwa kuwa na waumini 250 kila moja kwa ajili ya swala ya Ijumaa kuanzia wiki hii.
Habari ID: 3473437    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08

TEHRAN (IQNA)- Misikiti nchini Singapore itafunguliwa kuanzia Jumanne Juni pili kwa ajili ya swala zisizo za jamaa huku zuio la COVID-19 likianza kuondolewa nchini humo.
Habari ID: 3472809    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/28

TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa Ibada ambao huwajumuisha Waislamu kwa lengo moja.
Habari ID: 3472764    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) – Misikiti 37 nchini Singapore imeungana na kuchanga dola laki sita kwa ajili ya kutoa futari kwa Waislamu wanaofunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472749    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Singapore Lee Hsien Loong amesema ingawa misikiti imefungwa nchini humo, wanazuoni wa Kiislamu na waalamu wa dini watahakikisha kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utaendelea kuwa na mvuto na maana yake halisi.
Habari ID: 3472694    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23

TEHRAN (IQNA) – Msikiti uliojengwa miaka 130 iliyiopita nchini Singapore, umefunguliwa baada ya ukarabati wa miaka miwili na sasa unaweza kubeba waumini 2,500 kutoka 1,500.
Habari ID: 3472473    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/15

TEHRAN (IQNA)-Halima Yacob amechaguliwa Jumatano kuwa mwanamke wa kwanzi rais wa Singapore.
Habari ID: 3471171    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/13