Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (as) katika mji wa Vienna nchini Austria, leo Jumatano kinaandaa sherehe maalumu ya kuadhimisha uzawa wa Imam huyo mtukufu wa Nyumba ya Mtume (saw).
2011 Jun 15 , 18:28
Moanyesho ya sanaa ya Kiislamu yanaendelea katika mji wa Lyon nchini Ufaransa. Maonyesho hayo ambayo yalianza tarehe Pili Februari katika Jumba la Makumbusho ya Sanaa mjini Lyon yamepangwa kukamalizika tarehe Nne Julai.
2011 Jun 15 , 18:24
Semina na mazungumzo ya meza duara kwa lengo la kuchunguza kwa kina shakhsia tukufu ya Imam Ali bin Abi Twalib (as) yamepangwa kufanyika Juni 19 huko katika kituo cha Kiislamu cha mjini London Uingereza.
2011 Jun 14 , 18:30
Kikao cha 32 cha Baraza la Utendaji la Shirika la Sayansi, Utamaduni na Elimu la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO kilianza jana katika mji wa Rabat nchini Morocco.
2011 Jun 14 , 16:45
Kamati ya Turathi za Kiutamaduni na Athari za Kihistoria ya mji mtakatifu wa Najaf huko Iraq itaanzisha jumba la makumbusho na athari za kihistoria na mambo ya kale katika mji huo.
2011 Jun 11 , 21:11
Ofisi ya Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani CAIR katika mji wa Houston katika jimbo la Texas ina nia ya kutekeleza mpango wa kukabiliana na hujuma na propaganda dhidi ya Uislamu.
2011 Jun 11 , 21:10
Chuo cha Kiislamu cha Malaysia kitazinduliwa hivi karibuni chini ya usimamizi wa Taasisi ya Ustawi ya Kiislamu ya nchi hiyo (JAKIM).
2011 Jun 07 , 13:51
Baraza Kuu la Aalul Bait (as) nchini Misri limetoa wito wa kufundishwa fiqhi ya Ahlul Bait (as) katika Chuo Kikuu cha al Azhar na vituo vingine vya elimu vilivyochini ya chuo hicho.
2011 Jun 06 , 15:56
Shirika linalotoa huduma za intaneti nchini Tunisia limepinga amri ya Mahakaya ya Mwanzo ya nchi hiyo iliyotaka kuchujwa mitandao yote ya intaneti inayokinzana na maadili na mafundisho ya Uislamu.
2011 Jun 01 , 20:29
Jamil Kheir Bahram, Waziri wa Masuala ya Kiislamu wa Malaysia amesema kuwa serikali ya nchi hiyo imechukua uamuzi wa kuanzisha vyuo vya Kiislamu vitakavyokuwa vikitoa masomo ya masuala ya kiuchumi na mifumo ya benki za Kiislamu nchini.
2011 Jun 01 , 18:03
Mahakama ya Mwanzo ya Tunisia imetoa hukumu inayoziamuru taasisi zinazotoa huduma za intaneti nchini humo kuchuja na kuzuia mitandao yote inayokinzana na maadili na thamani za Kiislamu.
2011 May 29 , 17:49
Mhadhiri wa masuala ya utamaduni katika Chuo Kikuu cha North Carolina amesema katika kuarifisha kitabu chake kipya alichokipa jina la “Kuwatisha Watu Kuhusu Uislamu: Vita vya Kiaidiolojia dhidi ya Uislamu” kwamba mwenendo wa kuuchafulia jina Uislamu ni mfano wa ubaguzi wa kimbari katika jamii ya Marekani.
2011 May 25 , 15:00
Masomo maalumu kwa walimu wa masomo ya Kiislamu yamepangwa kuanza nchini Ujerumani hapo kesho Jumatatu tarehe 23 Mei.
2011 May 22 , 22:25