Kwa mnasaba wa sherehe za Alfajiri 10 za kuadhimisha Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran maonyesho ya Qur'ani yenye anwani ya "Alfajiri ya Mapinduzi ya Kiislamu" yamefanyika katika Chuo Kikuu cha Addis Ababa nchini Ethiopia.
2011 Feb 01 , 12:41
Sherehe ya kuzinduliwa insaiklopidia ya maarifa ya matukio ya kidini itafanyika Jumatano tarehe 9 Februari mjini Paris Ufaransa.
2011 Jan 30 , 15:02
Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wa Iran na mwenzake wa Qatar wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo ushirikiano ili kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
2011 Jan 24 , 16:46
Shirika Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) limeteuliwa na kutangazwa kuwa shirika bora zaidi la habari katika warsha ya "Waqfu na Vyombo vya Habari" iliyofanyika Januari 23 mjini Tehran.
2011 Jan 24 , 16:42
Shirika la Kiislamu ya Elimu, Sayansi na Utamaduni ISESCO limechapisha kitabu chenye anwani ya "Fiqhi ya Kiislamu kwa Mtazamo wa Kimataifa".
2011 Jan 20 , 13:01
Mwakilishi wa Taasisi ya Noor ya Iran nchini Iraq amesema kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya kidini na wasomi wa Iraq wamepokea vyema programu za komputa na bidhaa zinazotengenezwa na taasisi hiyo.
2011 Jan 20 , 12:54
Maonyesho ya Sanaa ya Kiislamu na Kimarekani yanafanyika katika kituo cha EAG katika viunga vya mji wa Chicago katika jimbo la Illinois huko Marekani.
2011 Jan 19 , 14:56
Usanifu majengo wa Kiislamu ambao unaenda sambamba na mazingira hauonekani katika miji ya nchi za Kiislamu.
2011 Jan 17 , 16:07
Watu wanaovutiwa na masuala ya sanaa wapatao laki tatu waliutembelea Msikiti wa Sheikh Zayed wa mjini Abu Dhabi mwezi uliopita wa Disemba.
2011 Jan 17 , 13:16
Maonyesho ya kazi za uchoraji yaliyopewa jina la "Mashaka ya Wakimbizi wa Palestina" yanafanyika katika mji mkuu wa Uhispania, Madrid.
2011 Jan 15 , 21:04
Kitabu cha Imam Mahdi (as) katima Mtazamo wa Ahlul Sunna” kilichoandikwa na Mahdi Faqih Imani kimechapicha kwa mara ya tatu katika mji mkuu wa Lebanon, Beiruti kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait.
2011 Jan 10 , 13:41
Katika toleo lake la hivi karibuni jarida la El Mundo Arabe la Argentina limechapisha makala ya shughuli za Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO.
2011 Jan 01 , 12:36
Kitabu chenye anwani ya "Mtume Muhammad SAW katika Ukristo" kilichoandikwa na hayati Ahmad Deedat kimetarjumiwa kwa lugha ya Kihausa nchini Nigeria.
2010 Dec 30 , 12:41