Kongamano la nne la Sanaa ya Kiislamu la Hamad bin Khalifa limepangwa kufanyika tarehe 29 hadi 31 Okoba katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2010 Sep 20 , 19:25
Maonyesho ya Athari za Kiislamu yatafanyika Ijumaa ya wiki hii katika mji wa Munich nchini Ujerumani.
2010 Sep 15 , 12:29
Kazi za sanaa ya Kiislamu zitaonyeshwa katika hoteli ya Ritz Carlton mjini Doha Qatar katika siku za tarehe 20 na 21 Septemba.
2010 Sep 09 , 12:09
Maonyesho ya kila mwaka ya kaligrafia ya Kiislamu chini ya anwani ya "Maonyesho ya Kitaifa ya Kaligrafia ya Kiislamu Mwaka 2010" yanafanyika nchini Pakistan katika ukumbi wa Kitaifa wa Sanaa mjini Islamabad.
2010 Sep 07 , 11:27
Nuskha ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa miaka 300 iliyopita huko India imewekwa katika maonyesho nchini Ujerumani.
2010 Sep 05 , 11:40
'Redio ya Qurani' ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni chombo cha habari ambacho jukumu lake maalumu ni kusambaza mafunzo na ufahamu wa Qurani Tukufu.
2010 Sep 01 , 19:25
Kitabu cha Elimu ya Hadithi Mashariki na Magharibi mwa Dunia kimechapishwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO.
2010 Sep 01 , 17:50
‘Atlasi ya Qurani Tukufu’ iliyotarjumiwa na Mohammad Kermani kutoka Kiarabu na Kiingereza na iliyo na ramani, taswira na tarjuma za aya zaidi ya 1000 kati ya aya za Qurani Tukufu imewasilishwa katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Tehran.
2010 Aug 30 , 15:19
Maonyesho ya “Umaridadi wa Kaligrafia ya Kiislamu” yanaendelea katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
2010 Aug 29 , 11:57
Maonyesho ya Qurani na kaligrafia ya Kiislamu yameanza Agosti 28 hadi Desemba 5 katika jimbo la Georgia.
2010 Aug 28 , 16:17
Maonyesho ya kudumu ya nakala za Qura’ni Tukufu yanafanyika katika Jumba la Makumbusho ya Sanaa za Kiislamu katika mji mkuu wa Malaysia Kuala Lumpur.
2010 Aug 28 , 14:55
Maonyesho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ya Vitabu vya Kiislamu yameanza katika mji wa Tripoli wa kaskazini mwa Lebanon.
2010 Aug 25 , 15:09
Kutokana na kuongezeka idadi ya watu wanaoomba kupata maarifa ya Kiislamu kwa upande mmoja na uhaba wa vituo vya kidini katika kujibu na kutosheleza maombi hayo kwa upande wa pili, taasisi ya kimataifa ya Jamiatul Mustafa (saw) imepanga kueneza shughuli zake na kuanzisha vyuo vikuu vya kidini na taasisi za Qur'ani katika nchi mbalimabli za dunia.
2010 Aug 25 , 11:19