Kikao cha wanachama wa baraza kuu la Jumuiya ya Watengeneza Filamu Fupi katika nchi za Kiislamu kinatazamiwa kuanza mjini Tehran sambamba na Kongamano la Tano la Kimataifa la Filamu Fupi.
2008 Nov 08 , 12:04
Kundi la vijana wa Kiislamu nchini Ujerumani limeanzisha kampeni ya kuweka michoro na picha za kuvutia za Kiislamu katika mavazi ikiwa ni katika harakati za kupunguza chuki za kidini dhidi ya Uislamu nchini humo.
2008 Nov 06 , 14:14
Maonyesho ya nakala za maandishi ya kale ya mkono yamefunguliwa katika mji wa Durbar nchini Afrika Kusini kwa shabaha ya kuchunguza historia ya Kiislamu.
2008 Nov 06 , 14:10