Mahdi Mustafawi, Mshauri wa Rais na Mkuu wa Taasisi ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea kituo cha nyaraka za maandishi ya mkono cha Sanaa, mji mkuu wa Yemen.
2008 Nov 25 , 10:08
Viongozi wa ngazi za juu wa kidini, kitamaduni na kisiasa nchini Afghanistan wameikosoa serikali kwa kutojali kuhusu hujuma ya kitamaduni inayofanyika nchini humo na kuwafanya Waafghani kuwa mbali na mafunzo ya dini ya Kiislamu.
2008 Nov 22 , 12:24
Shirika la Elimu, Utamaduni na Sayansi ya Kiislamu ISESCO litashiriki katika kikao cha Mawaziri wa Utamaduni wa Baraza la Ulaya kilichopangwa kufanyika tarehe pili na tatu mwezi Disemba katika mji mkuu wa Azerbaijan, Baku.
2008 Nov 22 , 11:15
Kitengo cha mafunzo ya ‘Fiqhi Linganishi’ kinatazamiwa kuanzishwa hivi karibuni katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Aligarh nchini India kwa ushirikiano wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2008 Nov 17 , 14:41
Kipindi cha View Point (Mtazamo) cha kanali ya televisheni ya satalaiti ya Sahar inayorusha matangazo yake kutoka mjini Tehran kimeonyesha kielelezo cha magazeti na vyombo vya habari vya Kiislamu vinavyotumia lugha ya Kiingereza.
2008 Nov 15 , 14:37
Idadi kubwa ya vitabu vinavyohusiana na Mtume Mtukufu (saw) imewasilishwa katika maonyesho ya vitabu ambayo yamefanyika huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2008 Nov 15 , 11:04
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO Abdulaziz Othman al Twaijri amemtangaza Jean Poul Cartron katika Baraza la Seneti la Ufaransa kuwa balozi wa ISESCO katika mazungumzo kati ya tamaduni mbalimbali.
2008 Nov 13 , 12:12
Mkutano wa kimataifa wa Sanaa na Usanifu Majengo wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alkhamisi ya wiki hii katika kitivo cha Sanaa mjini Lahore nchini Pakistan.
2008 Nov 12 , 10:49
Kufunguliwa kwa chama kipya cha Kiislamu nchini Bulgaria kumezusha mjadala mkali wa kidini na kikabila nchini humo.
2008 Nov 10 , 15:39
Maonyesho ya kaligrafia (sanaa ya kuandika vizuri) ya aya za Quran chini ya anuani ya "Hati Katika Patineh" yanayojumuisha kazi za Mohammad Bani Ahmad na wanafunzi wake yemefunguliwa Jumamosi Novemba 8 katika ukumbi wa Kama al Molk mjini Tehran.
2008 Nov 09 , 12:09
Kukusanya na kukarabatiwa athari za sanaa tajiri ya Kiislamu ambayo inaakisi uwezo mkubwa wa wasanii wa Kiislamu kwa ujumla na kuonyeshwa athari hizo kwa walimwengu ni harakati muhimu ambayo inapaswa kupewa kipaumbele ya wasanii wote.
2008 Nov 08 , 12:17
Kukusanya na kukarabatiwa athari za sanaa tajiri ya Kiislamu ambayo inaakisi uwezo mkubwa wa wasanii wa Kiislamu kwa ujumla na kuonyeshwa athari hizo kwa walimwengu ni harakati muhimu ambayo inapaswa kupewa kipaumbele ya wasanii wote.
2008 Nov 08 , 12:08
Kikao cha wanachama wa baraza kuu la Jumuiya ya Watengeneza Filamu Fupi katika nchi za Kiislamu kinatazamiwa kuanza mjini Tehran sambamba na Kongamano la Tano la Kimataifa la Filamu Fupi.
2008 Nov 08 , 12:04