Kitabu cha al Madh-hab wal Watan (Madhehebu na Nchi) kilichoandikwa na Sheikh Hassan Saffar Imamu wa Ijumaa wa msikiti wa Qatif, Saudi Arabia kimetarjumiwa kwa lugha ya Kiswahili na kuchapishwa nchini Kenya.
2008 Dec 22 , 15:52
Filamu kuhusu "Jumba la Makumbusho ya Sanaa za Kiislamu" iliyotengenezwa na Akram Udwani imeonyeshwa na kanali ya televisheni ya Al Jazeera.
2008 Dec 21 , 11:50
Mkurugenzi wa jumba la makumbusho la taifa la mji wa Oslo nchini Norway Cristoph Kilger amesema kuwa safaru za kale za Kiislamu za kipindi cha karne ya nane Miladia zimegunduliwa nchini humo.
2008 Dec 14 , 11:37
Jumuiya sita za Kiislamu za Uholanzi zimetoa taarifa ya pamoja zikieleza kuwa kuonyeshwa filamu inayovunjia heshima matukufu ya Kiislamu ya “Mahojiano na Muhammad” itakwamisha mazungumzo kati ya Uislamu na nchi za Magharibi.
2008 Dec 13 , 11:41
Jumba la makumbusho la “Utamaduni wa Kiislamu” litafunguliwa hivi karibuni katika eneo la kihistoria la Intramuros katika mji mkuu wa Ufilipino, Manila kwa shabaha ya kudhihirisha utajiri wa ustaarabu na utamaduni wa Kiislamu.
2008 Dec 11 , 12:12
Kitabu cha "Uislamu; Dini ya Maisha" kilichoandikwa na mwanafikra wa Kiislamu Abdullah Wadud Shalbi kimearifishwa katika gazeti la Courierpress kwenye jimbo la Indiana nchini Marekani.
2008 Dec 07 , 11:52
Maonyesho ya kaligrafia ya Kiislamu na Qur’ani Tukufu yanatazamiwa kuanza tarehe 19 mwezi huu wa Disemba hadi 9 Januari katika jumba la makumbusho la Asia Society mjini New York, Marekani.
2008 Dec 06 , 11:17
Maonyesho ya kazi za kisanii kuhusu Qur’ani Tukufu yalianza jana mjini Islamabad katika Jumba la Sanaa la Taifa la Pakistan.
2008 Dec 02 , 09:57
Maonyesho ya hati za kaligrafia ya Majina Matukufu ya Mwenyezi Mungu yaani "Asmaul Husna" yanaanza Jumatatu Desemba Mosi mjini Istanbul na kuendelea kwa muda wa siku 10.
2008 Nov 30 , 12:00
Mwanachama wa Baraza la Mji wa Leidschendam-Voorburg ambaye pia ni mwanachama wa chama cha Leba cha Uholanzi Ihsan Jami anakusudia kuzindua filamu inayodhalilisha matukufu ya Kiislamu aliyoipa jina la “Mahojiano na Muhammad.”
2008 Nov 29 , 14:40
Warsha ya Sanaa ya Kiislamu katika Tamaduni tofauti imefanyika mjini Doha, Qatar kwa lengo ya kuchunguza utajiri wa sanaa ya Kiislamu. Warsha hiyo imefanyika sambamba na maonyesho ya kwanza ya muda ya Jumba la Makumbusho la Sanaa ya Kiislamu la Doha.
2008 Nov 27 , 11:50
Duka la kuuza vitabu vya sanaa ya Kiislamu limefunguliwa katika Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2008 Nov 25 , 10:29
Mahdi Mustafawi, Mshauri wa Rais na Mkuu wa Taasisi ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea kituo cha nyaraka za maandishi ya mkono cha Sanaa, mji mkuu wa Yemen.
2008 Nov 25 , 10:08