Maonyesho ya 'Palestina na mapambano katika kioo cha Sanaa' yamefunguliwa mjini Damascus Syria kwa udhamini wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2009 Jan 24 , 08:06
Maudhui ya 'nafasi ya uongozi katika ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu' itajadiliwa hivi karibuni katika televisheni ya ZNBC ya nchini Zambia, sambamba na kuadhimishwa mwaka wa 30 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
2009 Jan 24 , 08:01
kitabu cha "Utambue Uislamu" kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Baraza la Mamufti wa Russia (CMR) Rawi Ainuddin kimechapisha nchini humo.
2009 Jan 21 , 11:04
Kongamano la kimataifa la “Kuchunguza Thamani za Mazungumzo Katika Uislamu” limefanyika katika mji wa Qayrawan nchini Tunisia.
2009 Jan 05 , 13:33
Bendera ya utamaduni wa Kiislamu imekabidhiwa kwa mji wa Qayrawan nchini Tunisia baada ya mji huo kuchaguliwa kuwa mji mkuu wa utamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu katika mwaka huu wa 2009.
2009 Jan 05 , 10:33
Mji mkuu wa Qatar Doha umetangazwa kuwa mji mkuu wa utamaduni wa ulimwengu wa Kiarabu mwaka 2010.
2009 Jan 01 , 10:55
Maonyesho ya sanaa za Kiislamu yamenza katika Jumba la Makumbusho na Sanaa la Brussels.
2008 Dec 29 , 13:50
Mfumo wa kwanza wa kuratibu michezo ya kompyuta ya nchi za Kiislamu kwa msingi wa umri wa wanaoicheza michezo hiyo umezinduliwa na Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Tehran.
2008 Dec 28 , 12:59
Mkuu wa Kamisheni ya Utamaduni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa kufikiwa ustaarabu wa Kiislamu kunahitajia kufikiwa utamaduni wa Kiislamu.
2008 Dec 28 , 12:58
Kipindi cha kila wiki cha “Sauti ya Waislamu Mjini Washington” kinaanza kurushwa hewani leo kupitia Redio ya WUST katika mji mkuu wa Marekani, Washington.
2008 Dec 28 , 11:30
Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislamu barani Ulaya Muhammad Bashari amesema ni sawa Waislamu kutoa salamu za pongezi kwa Wakristo wakati wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabi Issa (as) kwani jambo hilo hukuza umoja na mashikamano baina ya wafuasi wa dini hizo mbili.
2008 Dec 27 , 15:36
Tabu kubwa la picha za msikiti wa al Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu, limezinduliwa katika mji mtakatifu wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
2008 Dec 22 , 17:03
Kitabu cha al Madh-hab wal Watan (Madhehebu na Nchi) kilichoandikwa na Sheikh Hassan Saffar Imamu wa Ijumaa wa msikiti wa Qatif, Saudi Arabia kimetarjumiwa kwa lugha ya Kiswahili na kuchapishwa nchini Kenya.
2008 Dec 22 , 15:52