iqna

IQNA

madrassah
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Algeria imeafiki kufunguliwa tena madrassah za Qur'ani Tukufu nchini humo ambazo zilikuwa zimesitisha shughuli zao kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473514    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01

TEHRAN (IQNA)-Waalimu wa shule za Kiislamu (Madrassah) nchini Uganda wameshiriki katika warsha ya kuimarisha ujuzi wao.
Habari ID: 3471083    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/24

TEHRAN (IQNA)-Madrassah za jadi za kufunza Qur'ani nchini Eritrea zinaendelea kufunza Qur'ani kwa mbinu za kale huku zikizidi kuenea katika nchi hiyo ya kaskazini mashariki mwa Afrika.
Habari ID: 3470984    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/18

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Madagascar imetangaza uamuzi wa kufunga madrassah na taasisi 16 za kufunza Qur'ani nchini humo hatua ambayo imewakasirisha Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470969    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/05

IQNA: Serikali ya Kenya imeazimia kukabiliana na Madrassah zenye misimamo mikali ya kidini hasa katika eneo linalopakana na Somalia kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470714    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04