Mkurugenzi wa kanali ya televisheni ya Qur'ani ya Algeria ametangaza kuwa kanali hiyo haitaonyesha filamu ya Hassan na Hussein AS na kusisitiza kuwa filamu hiyo haitaonyeshwa ili kuzia fitina nchini Algeria.
2011 Aug 21 , 16:03
Kutawasali na Mtume (saw) pamoja na Maimamu watoharifu (as) ni amri ya moja kwa moja ya Qur'ani Tukufu na kuna aya nyingi katika kitabu hicho kitakatifu zinazowasihi waumini kutekeleza amri hiyo.
2011 Aug 21 , 14:51
Sherehe za kuzaliwa Imam Hassan Mujtaba (as) ambaye ni Imam wa pili katika silsila ya Maimamu wa Nyumba ya Mtume (saw) wanaotokana na kizazi cha Mtume Muhammad (saw) zilifanyika Jumanne iliyopita katika pembe zote za Pakistan.
2011 Aug 19 , 10:39
Filamu yenye anwani ya ‘Muhammad SAW’ inatazamiwa kutengenezwa nchini Iran chini ya usimamizi wa mtengeneza filamu maarufu nchini Majid Majidi.
2011 Aug 17 , 11:50
Jumuiya ya Urafiki ya Iran na Brazil inaonyesha vitabu kadhaa vya Kiislamu kwa lugha ya Kireno katika maonyesho ya Qur'ani Tukufu hapa mjini Tehran.
2011 Aug 13 , 17:30
Kwa kushirikiana katika kuanzisha taasisi ya Daru Taqrib ya mjini Cairo Misri, wanazuoni wa mji mtakatifu wa Najaf na wa chuo cha kidini cha al-Azhar walifanya juhudi kubwa kwa ajili ya kuimarisha umoja na mshikamano wa umma wa Kiislamu.
2011 Aug 10 , 17:30
Mashia wa Misri wamelalamikia vikali kuonyeshwa filamu iliyo dhidi ya Ushia nchini humo iliyopewa jina la al-Hassan wal Hussein na kuonya kuwa watawashtaki wahusika mahakamani iwapo hawatasimamisha uonyeshwaji wake.
2011 Aug 07 , 17:20
Kitabu cha "Nyota wa Zama za Dhahabu za Kiraa ya Qur'ani Misri" kilichoandikwa na Nabiil Hanafi kimechapishwa.
2011 Jul 31 , 10:59
Sheikh wa al Azhar nchini Misri Ahmad Tayyib amesisitiza juu ya udharura wa kuwepo ushirikiano kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni kwa ajili ya kutetea na kulinda Uislamu kote duniani.
2011 Jul 26 , 15:33
Makundi ya watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook yametoa wito wa kususiwa filamu inayotengenezwa nchini Jordan ya al Asbat inayohusu maisha ya wajukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hassan na Hussein (as).
2011 Jul 25 , 09:20
Mamufti wa Jordan wametoa fatuwa ya kuharamisha filamu zinazoonyesha sura ya Imam Hassan na Hussein (as).
2011 Jul 23 , 17:44
Warsha ya mafunzo ya Dini katika Kuhudumia Amani ya Kimataifa inafanyika nchini Uswisi ikihudhuriwa na wanafunzi wa vyuo vikuu wa Kiislamu, Kikristo na Kiyahudi.
2011 Jul 19 , 16:11
Baraza la Maimamu wa Jamaa wa Luxembourg limetangaza siku ya tarehe 1 Agosti kuwa ndiyo siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jul 18 , 17:58