Kikao cha kwanza cha habari cha Zawadi ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu kitafanyika jumamosi ijayo mjini Tehran.
2011 Oct 26 , 17:20
Mkutano wa kimataifa wa Akademia ya Sayansi ya Ulimwengu wa Kiislamu (IAS) ulianza jana katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2011 Oct 23 , 13:34
Vatican kwa mara ya kwanza imekuwa mwenyeji wa maonyesho ya kimataifa ya kaligrafia ya Kiislamu yaliyopewa jina la 'Dhihirisho la Mapenzi kwa Mtume Muhammad (saw).'
2011 Oct 16 , 14:39
Zaidi ya misikiti 400 katika eneo linalojitawala la Ninghai, kaskazini mwa China imepewa huduma za maktaba.
2011 Oct 13 , 14:23
Uchunguzi kuhusu mbinu zilizotumika katika zama za kale kufundishia mafunzo ya Kiislamu ili kuweza kunufaika nazo katika zama hizi zitachunguzwa katika tawi la Chuo Kikuu Huru cha Kiislamu cha Iran huko katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2011 Oct 10 , 08:33
Warsha ya mafunzo ya kuhifadhi nuskha za Kiislamu imepangwa kuanza kesho tarehe 26 hadi 30 Septemba huko Bissau mji mkuu wa Guinea.
2011 Sep 25 , 15:19
Kongamano lenye anwani ya ‘Avicenna na Wanafalsafa wa Kiislamu’ litafanyika Tehran Oktoba 18-19 chini ya usimamizi wa Taasisi ya Hekima ya Sadra ya Kiislamu.
2011 Sep 21 , 15:40
Mahmud Hamdi Zaqzouq mwandishi wa kitabu ‘Uislamu na Magharibi’ anaamini kuwa njia bora zaidi ya mazungumzo muafaka kati ya Uislamu na Magharibi ni kupitia mazungmzo ya kidini.
2011 Sep 07 , 15:45
Mkuu wa Jumuiya ya Wapiga Picha Iran amesema Maonyesho ya Picha za Mwamko wa Kiislamu duniani yatafanyika mjini Tehran.
2011 Sep 05 , 12:39
Ensaiklopidia ya nchi za Kiislamu iliyoandikwa na kutayarishwa na Ashur Shurafi, mtaalamu wa masuala ya Kiislamu, imechapishwa huko Algeria.
2011 Aug 29 , 12:46
Baraza la Waislamu la Togo limetoa taarifa likitangaza kuwa siku ya Idul Fitr nchini humo itakuwa Jumatano ya tarehe 31 Agosti.
2011 Aug 28 , 11:36
Kituo cha Mazungumzo kati ya Uislamu na Ukristo kilifunguliwa pembeni ya msikiti mkuu wa Manila nchini Ufilipino hapo siku ya Alkhamisi ikiwa ni katika kunufaika na baraka za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 27 , 14:42
Mkurugenzi wa kanali ya televisheni ya Qur'ani ya Algeria ametangaza kuwa kanali hiyo haitaonyesha filamu ya Hassan na Hussein AS na kusisitiza kuwa filamu hiyo haitaonyeshwa ili kuzia fitina nchini Algeria.
2011 Aug 21 , 16:03