Maonyesho ya kimataifa ya ulimwengu wa Kiislamu yanaanza Disemba 17 katika Kituo cha Maonyesho cha Bourget mjini Paris, Ufaransa.
2011 Dec 17 , 16:17
Maonyesho ya athari na picha za Waislamu wa mwanzoni nchini Australia yanaendelea katika jumba la maonyesho la Sanaa ya Kiislamu IAMM mjini Kuala Lumpur, Malaysia.
2011 Dec 13 , 14:40
Sambamba na kuanza mwezi wa maombolezo na huzuni wa Muhharam, bendera nyeusi inayomaanisha majonzi imewekwa kwenye kuba ya Haram ya Imam Hussein (as).
2011 Nov 27 , 16:59
Maonyesho yaliyopewa jina la 'Dini Mjini' yameanza leo mjini London, Uingereza sambamba na ufunguzi wa wiki ya kukurubisha baina ya dini mbalimbali.
2011 Nov 22 , 17:10
Mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq umeteuliwa kuwa mji mkuu wa mazungumzo kati ya dini na staarabu mbalimbali.
2011 Nov 21 , 16:36
Kongamano la 8 la Kimataifa la Nakala za maandishi ya mkono ya Kiislamu limepangwa kufanyika Julai mwaka kesho katika Chuo Kikuu cha Cambridge nchini Uingereza.
2011 Nov 21 , 16:35
Maonyesho ya Qur'ani na vitabu vya Kiislamu yalimalizika jana katika jimbo la Bihar nchini India.
2011 Nov 20 , 18:00
Maonyesho yaliyopewa jina la Dunia ya Waislamu yalifunguliwa jana mjini Berlin Ujerumani.
2011 Nov 13 , 11:34
Kikao cha kuchunguza hali ya kiutamaduni na kijamii ya Waislamu wa kaskazini mwa Afrika kimepangwa kufanyika hivi karibuni katika Kituo cha Utamaduni, Sanaa na Mawasiliano cha Wizara ya Mwongozo wa Kiislamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 Nov 06 , 19:58
Taasisi ya Kimataifa ya Quds Tukufu imelitaka Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kulinda turathi za Kiislamu za Palestina.
2011 Nov 06 , 16:48
Sehemu ya kwanza ya filamu ya televisheni ya 'Waislamu wote wa Marekani' imepangwa kuanza kuonyeshwa tarehe 13 Novemba ikiwa ni katika juhudi za kuarifisha maisha halisi ya Waislamu nchini humo.
2011 Nov 02 , 17:27
Maonyesho ya 'Uislamu Nchini Uingereza' yanaendelea katika Kituo cha Mfungamano wa Kimataifa RISC mjini Berkshire.
2011 Oct 27 , 12:51
Kikao cha kwanza cha habari cha Zawadi ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu kitafanyika jumamosi ijayo mjini Tehran.
2011 Oct 26 , 17:20