Semina ya Kimataifa kuhusu 'Nafasi ya Wairani katika Ustaarabu wa Kiislamu' itafanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Indonesia.
2012 Mar 03 , 20:01
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezilaumu baadhi ya nchi za Kiarabu kwa kuchochea machafuko nchini Syria na kuzuia kupatikana suluhisho la kidiplomasia la kutatua machafuko hayo.
2012 Feb 26 , 15:01
Maonyesho ya Miujiza ya Qur'ani Tukufu yatafanyika nchini Marekani kwa hima ya Jumuiya ya Maonyesho ya Sanaa ya Kiislamu (IAE).
2012 Feb 21 , 18:31
Jumba la Makumbusho la Uingereza mjini London limefungua maonyesho makubwa zaidi ya Hija duniani.
2012 Jan 29 , 09:08
Wawakilishi kutoka nchi 9 watashiriki katika kongamano la ‘Mwamko wa Kiislamu na Sinema’ ambalo litafanyika katika Ukumbi wa Mnara wa Milad mjini Tehran Februari 5.
2012 Jan 28 , 16:13
Kongamano lenye anwani ya 'Fiqhi ya Kiislamu' litafanyika katika mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq.
2012 Jan 18 , 15:52
Jildi ya 19 ya Insaiklopidia ya Kiislamu kwa lugha ya Kifarsi itachapishwa hivi karibuni nchini Iran, amesema mkuu wa Kituo cha Insaiklopidia Kubwa ya Kiislamu.
2012 Jan 17 , 16:52
Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza mpango wa kuanzishwa chuo kikuu cha sanaa za Kiislamu nchini.
2012 Jan 09 , 10:57
Taasisi ya mnada ya Artcurial ya Ufaransa tarehe 9 Februari itanadi kazi za sanaa ya Kiislamu katika Hoteli ya Marcel Dassault mjini Paris.
2012 Jan 05 , 12:19
Sherehe za wiki ya mwisho ya ‘Jakarta Mji Mkuu wa Utamaduni wa Kiislamu mwaka 2011 katika eneo la Asia’ zimemalizika katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Utalii na Utamaduni wa Indonesia.
2011 Dec 29 , 16:53
Vitabu vya kufunza swala, kuhifadhi Qur'ani Tukufu na misingi ya dini vimeongoza katika orodha ya vitabu vinavyouzwa kwa wingi katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu mjini Dakar, Senegal.
2011 Dec 25 , 15:00
Duru ya tano ya kikao cha Sanaa za Kiislamu kimepangwa kufayika nchini Kuwait tarehe 25 Disemba. Kikao hicho kimeandaliwa na Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Kuwait.
2011 Dec 19 , 22:57
Maonyesho ya kimataifa ya ulimwengu wa Kiislamu yanaanza Disemba 17 katika Kituo cha Maonyesho cha Bourget mjini Paris, Ufaransa.
2011 Dec 17 , 16:17