Maonyesho ya Historia ya Makka ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa wiki moja katika hoteli ya as-Shuhadaa huko katika mji mtakatifu wa Makka yalimalizika siku ya Jumapili.
2011 Mar 29 , 10:46
Kitabu chenye anuani ya “Hijab katika Utamaduni” kilichoandikwa na Sayyed Hamid Mirkhandan kimechapishwa na Taasisi ya Wanawake na Familia katika Ofisi ya Rais.
2011 Mar 19 , 14:11
Kikao cha walimu wa lugha ya Kiarabu kimepangwa kufanyika mjini Istanbul Uturuki kikisimamiwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC.
2011 Mar 16 , 13:18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei mapema jana alitembelea maonyesho ya teknolojia ya kistratijia na kukagua kwa karibu baadhi ya matunda muhimu ya sayansi na teknolojia ya wasomi wa hapa nchini.
2011 Mar 15 , 09:15
Mkutano wa kutayarisha kikao cha mawaziri wa utamaduni wa nchi za Kiislamu utafanyika katika mji mkuu wa Algeria Algiers mnamo 16-17 Machi kwa ushirikiano wa Shirika la Kiislamu la Elimu Sayansi na Utamaduni ISESCO, Makao Makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC na Wizara ya Utamaduni ya Algeria.
2011 Mar 13 , 13:57
Mashindano ya kuchagua msikiti bora zaidi nchini Uholanzi yatafanyika hivi karibuni kwa lengo la kuarifisha utamaduni na maisha ya Waislamu nchini humo pamoja na kuonyesha kiwango cha uzingatiaji Waislamu misikiti yao.
2011 Mar 12 , 16:28
Kongamano la kimataifa la 'Muujiza wa Kielimu wa Qur'ani na Sunna za Mtume (saw) limeanza leo Ijumaa huko Istanbul nchini Uturuki na limepangwa kuendelea kwa muda wa siku nne.
2011 Mar 12 , 16:26
Mkutano wa kimataifa wa 'Najaf, Mji Mkuu wa Ulimwengu wa Kiislamu katika mwaka 2012' umefunguliwa rasmi katika mji huo mtakatifu kwa kuhudhuriwa na wanazuoni na watafiti mashuhuri wa Kiislamu kutoka nchi tofauti za Kiislamu na za Ulaya.
2011 Mar 09 , 14:21
Wiki ya Mitindo na Mavazi ya Kiislamu iliyoanza siku ya Alkhamisi tarehe 3 Machi ilikamiliki jana Jumapili huko katika mji wa Istanbul.
2011 Mar 07 , 14:29
Kikao kuhusu mbinu mpya za masomo ambacho kimeandaliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO kimepangwa kufanyika tarehe 7 hadi 10 Machi huko Conacry mji mkuu wa Guinea Conacry.
2011 Mar 06 , 18:31
Kikao cha kuchunguza mafunzo ya kidini nchini Tunisia kimepangwa kufanyika Alkhamisi tarehe 10.
2011 Mar 06 , 18:22
Warsha ya mafunzo ya kaligrafia ya Kiislamu imepangwa kufanyika mjini London tarehe 9 mwezi Aprili katika Chuo cha Utafiti wa Mashariki na Afrika (SOAS) cha Chuo Kikuu cha London.
2011 Mar 06 , 17:51
Filamu ya "Ardhi Yangu" (My Land) inayozungumzia ardhi ya Palestina ambayo imetengezwa na Nabil Ayouch itaonyeshwa katika jumba la michezo ya kuigiza la Chuo cha Utafiti wa Sayansi za Jamii mjini Paris, Ufaransa.
2011 Mar 05 , 21:05