Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanayofanyika mjini Tehran yana kitengo maalumu cha vijana kinachotoa mafunzo mbalimbali ya Qur'ani Tukufu.
2010 Aug 10 , 07:42
Jumuiya ya Wapenzi wa Bibi Zahra (AS) ya mjini Paris Ufaransa imetangaza ratiba zake maalumu zitakazotekelezwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2010 Aug 09 , 10:23
Mipango ya Kiutamaduni pembizoni mwa Mashindano ya 14 ya Kimataifa ya Quran Tukufu ya Dubai imetangazwa.
2010 Aug 08 , 09:43
Jumba kubwa zaidi la maonyesho ya mambo ya kale ya Kiislamu ambalo liko katika moja ya viunga vya Cairo, mji mkuu wa Misri litafunguliwa katika wiki chache zijazo baada ya kufanyiwa ukarabati wa miaka saba.
2010 Aug 07 , 15:07
Maonyesho ya vitabu vya kidini, kuitamaduni, kijamii, kifasihi, kielimu na vinavyotumika katika vyuo vikuu yamepokelewa kwa wingi na wananchi wa Iraq katika mji mtakatifu wa Karbalaa.
2010 Aug 07 , 15:02
Mtandao wa Cafepress unaotengeneza na kuuza nguo umeanza kuuza fulana zenye maandishi yanayomvunjia heshima Mwenyezi Mungu Mtukufu na Uislamu.
2010 Aug 04 , 12:35
Kongamano la kimataifa la "Uislamu na Elimu za Kiakili, Zama Zilizopita na Sasa" limenza kazi zake katika mji mkuu wa Algeria Algiers likihudhuriwa na wasomi na wataalamu kutoka nchi mbalimbali duniani.
2010 Mar 31 , 10:42
Ujumbe wa mwaka mpya wa Hijria Shamsia wa Kiongozi Muadhamu
«يا مقلّب القلوب و الأبصار. يا مدبّر اللّيل و النّهار» Ewe Mola unayebadilisha nyoyo na macho ya watu. Ewe Mola unayeendesha usiku na mchana. «يا محوّل الحول و الأحوال» Ewe Mola unayebadilisha miaka na hali. «حوّل حالنا الى احسن الحال» Badili hali zetu na uzifanye bora zaidi.
2010 Mar 29 , 13:14
Kongamano la Nne la Kimataifa kuhusu “Ustaarabu wa Kiislamu katika eneo la Volga-Ural’ litafanyika Ufa, mji mkuu wa eneo la Bashkorostan nchini Russia tarehe 21-22 Octoba 2010.
2010 Mar 29 , 13:06
Watengeneza filamu nchini Iraq wametangaza kuwa watatengeneza filamu kuhusu Mjukuu wa Mtume (SAW), Imam Hussein (AS).
2009 May 21 , 11:54
Chuo Kikuu cha Jamiatul Mostafa (SAW) al Alamiya cha Iran kimeanza kuwasajili wanachuo wa kigeni kwa ajili ya Shahada ya Uzamili katika masomo mbali mbali.
2009 May 20 , 13:52
Wajdi Ghuneim, mwanzuoni mashuhuri wa nchini Misri amesema kuwa kuna wanazuoni mashuhuri wa Kiislamu wanaojadili mapendekezo kadhaa kwa lengo la kubuniwa jumuiya ya mashirika ya Kiislamu ili kuimarisha miradi ya uchumi wa Kiislamu, kuongeza miamala ya kibiashara na kiuchumi miongoni mwa mashirika ya Kiislamu na kuyasaidia matabaka ya watu masikini katika nchi za Kiislamu.
2009 May 19 , 11:06
Kongamano la Kimataifa la ‘Farabi, Filosofia, Dini na Utamaduni’ limefanyika nchini Kazakhstan.
2009 May 18 , 14:11