Kongamano la Kimataifa la ‘Farabi, Filosofia, Dini na Utamaduni’ limefanyika nchini Kazakhstan.
2009 May 18 , 14:11
Siku ya Ijumaa, polisi ya Iraq ilisimamisha lori moja na kunasa humo vitabu vingi vilivyo dhidi ya Ushia vilivyokuwa vikiingizwa nchini humo kutokea Jordan.
2009 May 17 , 12:55
Kitabu cha 'Uislamu na Mazingira' kilichoandikwa na Ayatullah Jawad Amuli wa Iran kimecapishwa kwa lugha za Kifarsi, Kiingereza na Kiarabu na kinauzwa katika maonyesho ya 21 ya vitabu Tehran.
2009 May 14 , 16:19
Maonyesho yenye maudhui ya Sala yamefanika mjini Istanbul Uturuki katika Taasisi ya Misaada ya Birlik.
2009 May 14 , 16:18
Jildi 22 za Sahifa ya Imam Khomeini (SA) imefasiriwa na kuchapishwa kwa lugha ya Kiarabu na kusambazwa katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu yanayoendelea mjini Tehran.
2009 May 14 , 13:06
Maonyesho ya vitabu vya kisasa vya kiarabu yameanza Jumamosi tarehe 9 Mei katika mji wa Qum nchini Iran.
2009 May 13 , 11:19
Maonyesho ya picha za sanaa ya Kiislamu yaliyoanza siku ya Ijumaa katika mji wa Qairawan huko Tunisia yanatazamiwa kumalizika siku ya Jumamosi tarehe 23 Mei.
2009 May 11 , 12:27
‘Atlasi ya Historia ya Kiislamu’ ni kati ya athari muhimu za kielimu na kihistoria za Taasisi ya Kijiografia ya Jeshi la Iran zinazoonyeshwa katika maonyesho ya 21 ya kimataifa ya vitabu Tehran.
2009 May 10 , 23:31
Mkurugenzi Mwandamizi wa Ofisi ya Usambazaji Utamaduni wa Kiislamu amesema kuwa kitabu cha Matlae Eshq cha Ayatullahil Udhma Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ndicho kitabu kilichouzwa kwa wingi zaidi kati ya vitabu vinavyouzwa na ofisi hiyo.
2009 May 10 , 09:40
Tamasha ya kwanza ya filamu fupi ya Mapambano na Gaza inayofanyika chini ya anwani: 'Ardhi ya Zetuni' na inayofanyika sambamba na nyingine kama hiyo mjini Tehran Iran ilianza siku ya Jumanne kwa sherehe maalumu katika ukumbi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon.
2009 May 07 , 11:40
Kikao cha kieneo cha 'Mwanamke katika Mtazamo wa Qur'ani' kimefanyika kwa juhudi za pamoja za Wizara ya Masuala ya Wanawake ya Afghanistan na Taasisi ya Shahid Balkhi na kwa ushirikiano wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.
2009 May 07 , 11:33
Mwanazuoni mmoja wa Iran amesema chimbuko la aghlabu ya sayansi muhimu duniani ni Uislamu na wasomi wa Kiislamu.
2009 May 06 , 09:45
Nakala elfu 20 za filamu ya "Kuondoa Shaka, Muhtasari Kuhusu Uislamu" zimeanza kusambazwa katika jimbo la North Carolina nchini Marekani.
2009 May 05 , 17:34