Tamasha ya kwanza ya kimataifa ya filamu za masuala ya kibinadamu inatazamiwa kufanyika tarehe 27 Aprili mpaka Mei Mosi mwaka huu mjini Tehran ikihudhuriwa na watengenezaji filamu mashuhuri wa nchi mbalimbali.
2009 Feb 18 , 11:26
Sababu ya filamu za Hollywood kuwa na mitazami iliyo dhidi ya Uislamu ni kuwa taasisi hiyo ya utengenezaji filamu inasimamiwa na Wazyauni; wa msingi huo haipaswi kutarajia chombo hicho kuwa na mtazamo mzuru kuhusu Uislamu.
2009 Feb 15 , 12:45
Mahdi Mustafavi Mshauri wa Rais Ahmadinejad wa Iran ambaye pia ni mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu amekutana na Karan Singh Mkuu wa Baraza la Utamaduni la India na wamejadili suala la kuimarishwa uhusiano wa kiutamaduni kati ya pande hizo mbili.
2009 Feb 12 , 18:41
Duru ya pili ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi hadithi za Mtume (saw) ilianza Jumamosi iliyopita nchini Imarati katika Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani cha Abu Dhabi, mji mkuu wa nchi hiyo.
2009 Feb 08 , 22:42
Filamu za Magharibi zinazodhibitiwa na Wazayuni zina mtazamo hasi kuhusu dini ya Kiislamu. Ukweli huo unapata nguvu zaidi tunapotilia maanani historia ya kadhia hiyo.
2009 Feb 08 , 10:17
Makampuni ya Ufaransa na Palestina yameazimia kutengeneza filamu mpya itakayohusu jinai za siku 22 za Israel katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhidi ya raia wasiokuwa na hatia wa eneo hilo.
2009 Feb 08 , 10:09
Mmoja wa wanazuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini Indonesia ametoa wito wa kususiwa filamu inayoitwa, 'Mwanamke Mwenye Mtandio Shingoni.'
2009 Feb 07 , 10:44
Tamasha ya pili ya kimataifa ya filamu za Kiislamu itafanyika tarehe 13 Februari hadi 12 Machi mwaka huu mjini Washington, Marekani.
2009 Feb 05 , 11:30
Tovuti ya Kiutamaduni na Upashaji Habari wa Kiislamu mjini Washington imechapisha toleo maalumu kwa mnasaba wa kuzaliwa Imam Musa Kadhim (as).
2009 Feb 05 , 11:11
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watengeneza Filamu Fupi wa Nchi za Kiislamu amesema tamasha ya filamu fupi za “Ardhi ya Zaitun” inafanyika kwa munasaba wa ushindi wa wanamapambano wa Palestina huko Ghaza. Maudhui ya tamasha hiyo ni ‘Mapambano Endelevu katika Uislamu’.
2009 Feb 05 , 10:42
Maonyesho ya "Chaguo bora la hati za Kiirani" yanayojumuisha taswira zenye thamani kubwa za hati za Iran zinazohifadhiwa katika Maktaba ya Kitaifa ya Iran kwa mara ya kwanza zitaonyeshwa nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 30 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2009 Feb 03 , 09:15
Mafunzo ya muda ya fikra za Kiislamu yameanza katika Kituo cha Kiislamu cha Uingereza na yanatazamiwa kuendelea hadi mapema mwezi Aprili.
2009 Feb 02 , 13:19
Wiki ya Kiutamaduni na Kiislamu imeanza katika mji wa Pretoria nchini Afrika Kusini ikisimamiwa na Kamati ya Utendaji ya Wiki ya Kiutamaduni na Kiislamu katika nchi mbalimbali za Kiislamu kwa kushirikiana na baraza la mji wa Pretoria.
2009 Feb 01 , 11:30