Habari Maalumu
IQNA – Watu wote, wale wanaokubaliana naye na wale wasioafikiana naye, wamekiri kwamba Imam Ja’afar Sadiq (AS) ana nafasi kubwa katika sayansi na elimu,...
25 Apr 2025, 19:42
IQNA – Msikiti mkubwa zaidi katika mji mkuu wa Ireland umefungwa kwa muda kufuatia mzozo wa ndani
25 Apr 2025, 18:59
IQNA – Mmarekani mwenye asili ya Kiarabu amefungua kesi ya ubaguzi dhidi ya Shirika la Big Jay’s Auto Sales huko Shelby Township, Michigan, Marekani akidai...
25 Apr 2025, 18:51
IQNA – Saudi Arabia imetangaza kuwa zaidi ya Waislamu milioni 18.5 walitekeleza ibada za Hija na Umrah mwaka uliopita.
25 Apr 2025, 18:41
IQNA – Mwanafasihi wa masomo ya Qur'ani amesisitiza kwamba lengo kuu la Qur'ani ni kubadilisha matendo na tabia ya waumini, si tu kusomwa tu.
25 Apr 2025, 18:24
IQNA – Mvulana Mmalaysia mwenye tatizo la kiakili lijulikanalo kama usonji(autism) ameweza kuhifadhi Qur'ani nzima kwa kipindi kifupi cha miezi minne pekee.
24 Apr 2025, 13:34
IQNA – Mkuu wa Shirika la Iran Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) ametaja diplomasia ya Qur'ani kama chombo kikuu cha kuleta Ummah Wahida (Ummah...
24 Apr 2025, 13:13
IQNA – Ayatullah Mostafa Mohaghegh Damad, mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu kutoka Iran, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha kiongozi wa Wakatoliki...
23 Apr 2025, 16:25
IQNA – Sherehe ilifanyika katika Mkoa wa Muharraq, Bahrain siku ya Jumatatu kwa ajili ya kuwaenzi vijana wa Bahrain kwa shughuli zao za Qur’ani katika...
23 Apr 2025, 16:19
IQNA – Washindi wa mashindano ya tuzo za Qur’ani nchini Kuwait walitunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumanne.
23 Apr 2025, 16:16
IQNA – Msikiti Mkuu wa Al-Fajri (Masjid Jami Al-Fajri) ni msikiti wa kihistoria na wa kipekee katika usanifu, uliopo Kusini mwa Jakarta, Indonesia.
23 Apr 2025, 16:09
IQNA – Sayed Mekawy alikuwa mtu mashuhuri wa Misri katika nyanja za Ibtihal (nyimbo za kidini) na muziki, ambaye urithi wake wa kisanaa na kiroho uko hai...
23 Apr 2025, 15:47
IQNA – Washindi wa mashindano ya kimataifa ya kukumbuka Qur’ani kwa wanafunzi wa kigeni wa Al-Azhar wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika nchini...
22 Apr 2025, 16:22
IQNA – Sheikh Abdul Hadi L’Aqab, msomi mtajika wa Qur’ani kutoka Algeria, alifariki dunia Jumapili, Aprili 20, 2025.
22 Apr 2025, 16:15
IQNA – Mpango kamili umeanzishwa kuhakikisha usalama wa vyakula, dawa, na bidhaa za matibabu zinazotolewa kwa Mahujaji katika miji ya Makka na Madina wakati...
22 Apr 2025, 16:08
IQNA- Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho...
22 Apr 2025, 15:53