IQNA

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya qarii Muirani nchini Uturuki + Video

16:26 - May 27, 2021
Habari ID: 3473951
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni kumesambaa klipu ya qarii Muirani, Mehdi Adeli, akisema aya za Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.

Katika klipu hii, Ustadh Adeli anasikika akisoma Sura al Fatiha kwa pumzi moja. Qiraa yake hiyo ilipokeleezwa vizuri na hadhirina.

3973793  

 

captcha