IQNA

Sherehe za kufungua mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said, Misri

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Tano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said nchini Misri yameanza Ijumaa katika mjio huo wa bandarini wa Misri na yana washiriki kutoka nchi 66.