IQNA

Qarii wa Qur'ani Tukufu

Duaa ya Qarii Musallam wa Misri kabla ya kusoma Qur'ani Tukufu

12:14 - June 02, 2022
Habari ID: 3475327
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu imesambaa katika mitandao ya kijamii kuhus Qarii wa Misri, Marhum Sheikh Antar Saeed Musallam akisoma dua kabla ya kuanza qiraa ya Qur'ani Tukufu.

Sheikh Musallam  ni Qarii maarufu wa Qur'ani wa Misri aliyezaliwa mwaka 1936  mjini Qotour katika Jimbo la Gharbia nchini humo. Alihifadhi Qur'ani akiwa na umri wa miaka 8 na aliaga dunia Septemba 2, 2002.

4061451

captcha