Wafungwa hao wameenziwa ikiwa ni sehemu ya toleo la 13 la mashindano ya kitaifa ya Qur'ani kwa wafungwa yaliyofanyika katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Zaidi ya wafungwa 10,000 walikuwa wameshiriki katika shindano hilo ambalo lilifanyika katika makundi matatu, ikiwa ni pamoja na kuhifadhi na usomaji wa tarteel.
Wakati huo huo, mamlaka za mahakama zitasamehe au kubadilisha hukumu za baadhi ya wafungwa walioshika nafasi za juu katika shindano hilo.
4136060