iqna

IQNA

HAFTAR
TEHRAN (IQNA) -Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, itaafiki mpatano ya usitishwaji vita iwapo tu jenerali muasi Khalifa Haftar ataondoa wapiganaji wake walioko maeneo ya kati na magharibi mwa nchi hiyo
Habari ID: 3472960    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13

TEHRAN (IQNA) - Vita nchini Libya vimeshadidi na kushika kasi. Serikali ya Muafaka wa Kiataifa (GNU) yenye makao yake mjini Tripoli iko mbioni kukomboa maeneo yote ambayo yanakaliwa na wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar. Katika siku za hivi karibuni vikosi vya Serikali ya Muafaka wa Kitaifa vimepata mafanikio makubwa.
Habari ID: 3472846    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/07

TEHRAN (IQNA) – Wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wameushambulia msikiti karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3472708    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27

TEHRAN (IQNA)- Pamoja na kuwa janga la corona limeenea duniani kote na hivyo kupelekea kusitishwa mapigano katika maeneo mengi yamesitishwa lakini nchini Libya hali ni kinyume kwani tunashuhudia kushadidi vita.
Habari ID: 3472665    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14