iqna

IQNA

fikra
Nidhamu Katika Qur'ani / 3
IQNA – Baadhi ya mafundisho ya Qur'ani kama vile yale kuhusu kudhibi Mwenyezi Mungu mambo yote na matukio yanayotokea maishani hutusaidia kudhibiti na kurekebisha hisia na hisia zetu.
Habari ID: 3478708    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/20

Qur'ani na kutafakari
TEHRAN (IQNA)- Wito wa kutafakri ni miongoni mwa mawaidha mazito katika dini ya Kiislamu na ni ya thamani na muhimu sana kiasi kwamba Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Saa ya kufikiri ina thamani zaidi kuliko miaka 60 ya ibada bila kufikiri”.
Habari ID: 3475309    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

Idara ya Qur’ani katika Wizara ya Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran imeandaa kongamano chini ya anuani ya ‘‘Qur’ani Katika Sirah na Fikra za Imam Khomeini’.
Habari ID: 3410354    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29