iqna

IQNA

uswidi
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Inaonekana hakuna nia nchini Uswidi ya kukomesha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, vitendo ambavyo vimewasikitisha na kuwakasirisha Waislamu kote ulimwenguni.  
Habari ID: 3478747    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28

Muiraqi
IQNA - Norway imekataa ombi la hifadhi la Salwan Momika, mkimbizi kutoka Iraq ambaye aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadhaa nchini Uswidi katika miezi iliyopita. Ripoti za awali zilieleza kuwa Momika alifariki akiwa Norway lakini imebainika kuwa ripoti hizo hazikuwa sahihi.
Habari ID: 3478679    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13

Harakati za Qur'ani
IQNA - Taasisi moja ya Kiislamu nchini  Iran imetangaza kuwa imekamilisha tafsiri ya Kiswidi ya Qur'ani Tukufu katika hatua ya "kupambana na ujahilia" au ujingakufuatia matukio kadhaa ya kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini humo mwaka jana.
Habari ID: 3478639    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Msikiti mmoja katika mji mkuu wa Uswidi wa Stockholm umekuwa ukilengwa na mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu kwa zaidi ya mwaka mmoja, huku tukio la hivi punde likitokea Jumatano wakati waumini wa Kiislamu walipoona ukuta wa msikiti ukiwa umechorwa Swastika ambayo ni nembo ya wanazi na maandishi ya "waue Waislamu "
Habari ID: 3478402    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Mahakama ya Uhajiri ya Uswidi (Sweden) imetangaza kwamba, mtafuta hifadhi wa Iraq, ambaye amefanya vitendo kadhaa vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, atafukuzwa nchini humo.
Habari ID: 3478324    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza hatua ya Denmark ya kupiga marufuku vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kutarajia nchi nyingine za Ulaya zitafanya hivyo.
Habari ID: 3478021    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Mamlaka za Uswidi zimeamua kumfukuza raia wa Iraq ambaye alivunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika maandamano ya hadhara katika miezi ya hivi karibuni.
Habari ID: 3477796    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27

Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Polisi wa Uswidi wamewakamata watu 15 ambao walijaribu kumzuia mtu mwenye msimamo mkali asichome Qur'ani Tukufu huko Malmo.
Habari ID: 3477544    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)--Waziri wa Sheria wa Uswidi, Gunnar Stromer, ameonya kuhusu hali ya hivi sasa ya usalama nchini mwake na kusema kwamba hali yetu ni ya giza sana hivi sasa baada ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477531    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Mwanamume mmoja ambaye alikuwa akiandamana kupinga mtu mwenye misimamo mikali aliyekuwa akichoma moto Qur'ani Tukufu mbele ya Msikiti wa Stockholm alizuiwa na polisi waliovalia kiraia.
Habari ID: 3477496    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu katika jumbe tofauti za video wamelaani vitendo vya kuvunjia heshima Qur’ani Tukkufu barani Ulaya, wakisisitiza kwamba hatua hizo zitashindwa kudhoofisha hadhi tukufu ya Kitabu hicho Kitukufu.
Habari ID: 3477485    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

TEHRAN (IQNA)- Iran imewaita wanadiplomasia wa Uswidi na Denmark katika mji mkuu Tehran kubainisha malalmiko yake makali kuhusu vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hizo mbili za Nordic.
Habari ID: 3477471    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Polisi huko Gothenburg, Uswidi, wanachunguza kesi ya uhalifu wa chuki baada ya msikiti mmoja kupokea bahasha ya kutisha iliyokuwa na unga mweupe siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477460    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Watetezi wa Qur’ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Wakristo katika mji ulio karibu na mji mkuu wa Uswidi wanashirikiana na Waislamu kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu Uislamu na Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3477437    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BEIRUT (IQNA) - Mwanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon alisisitiza haja ya serikali za Kiislamu kuchukua hatua ili kuzuia kurudiwa kwa kunajisi Qur'ani nchini Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477412    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BRUSSELS (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya alielezea kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kama "vitendo vya kutowajibika vya watu wasiowajibika".
Habari ID: 3477408    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maandamano makali yalifanyika nchini Bangladesh baada ya makumi ya nakala za Qur’ani Tukufu kuchomwa moto katika nchi hiyo ya Kusini mwa Asia.
Habari ID: 3477397    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Ubalozi wa Iran nchini Denmark umelaani vikali vitendo vya mara kwa mara kwa mara vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ndani ya taifa hilo la Nordic.
Habari ID: 3477393    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amewakosoa vikali watawala wan chi za Ulaya kutokana na ukimya wao kuhusu vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477392    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07

Watetezi wa Qur'ani
MOSCOW (IQNA) – Mkutano wa shakhsia wa Kiislamu na Kikristo nchini Urusi (Russia) ulifanyika mjini Moscow kulaani vitendo vya hivi majuzi vya kufuru na kuilenga Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3477374    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03