iqna

IQNA

PFI
Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI , ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29