iqna

IQNA

idris
Shakhsia Katika Qur'ani / 8
TEHRAN (IQNA) – Nabii Idris (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ndiye aliyekuwa wa kwanza kuandika kwa kalamu, kwa mujibu wa riwaya. Ametajwa kuwa ni msomi mwanafikra, na mwalimu na anajulikana kuwa mwanzilishi wa sayansi nyingi kutokana na elimu aliyoipata kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476000    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28