iqna

IQNA

mapambano
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, mapambano ya watu wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3475790    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Harakati ya Hizbullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitizia kwamba harakati hiyo daima imekuwa bega kwa bega na watu wanaodhulumiwa katika eneo la Asia Magharibi wakiwemo wa Yemen, Iraq na Afghanistan.
Habari ID: 3475666    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Rais wa Iran katika mkutano na mkuu wa Jihadul-Islami
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na au mapambano ya Kiislamu ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
Habari ID: 3475582    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/05

Sayyid Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha kupuuza uwepo wa vikosi vamizi vya Marekani nchini Iraq, ni sawa na kuuawa shahidi kwa mara ya pili Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474763    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Faisal Mekdad, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria na kusema kuwa, nchi hiyo ya Kiarabu ipo mstari wa mbele katika mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474648    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07

Shabab Al-Muqawama Global Front Holds Congress
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 7 la Kimataifa la Vijana wa Mapambano (Shabab Al Muqawama) limefanyika Jumatatu nchini Iran kujadili njia za kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473173    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama au mapambano ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
Habari ID: 3471244    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/02

Sayyed Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wapalestina.
Habari ID: 3444016    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya njama za Marekani, utawala ghasibu wa Israel na matakfiri katika Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3393522    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ghaza, Nembo ya Muqawama ( mapambano )” lilifanyika hapa Tehran siku ya Jumapili kwa minajili ya kukumbuka na kuadhimisha siku ya ushindi mkubwa wa wana mapambano wa Palestina katika vita vya siku 22 vya Ghaza vilivyoanza mwishoni mwa mwaka 2008 na kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2009.
Habari ID: 2728172    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/19

Kwa wale watu wanaofahamu vyema historia ya Uislamu, mwezi wa Muharram hukumbusha mapambano makubwa ambayo yalifanywa na Imam Hussein (as) kwa ajili ya kurekebisha na kuhuisha dini ya babu yake Mtume Muhammad (saw) ambayo ilikuwa imepotoshwa kwa kiwango kikubwa na maadui wa Uislamu pamoja na watu waliokuwa na tamaa ya kuitawala dini kifalme.
Habari ID: 1466308    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/01