iqna

IQNA

algeria
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 24 la Wiki ya Kitaifa ya Qur’ani limezinduliwa nchini Algeria katika sherehe siku ya Jumanne.
Habari ID: 3475953    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 11 unaoandaliwa kila mwaka kwa mnasaba wa Maulid ya Mtukufu Mtume (SAW) ulifanyika katika mji wa Adrar nchini Algeria.
Habari ID: 3475913    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Algeria inapanga kuandaa shindano litakalojumuisha kazi za kufufua turathi za Kiislamu za nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475862    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune alisema suala la Palestina ndilo suala la msingi kwa nchi yake.
Habari ID: 3475837    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Upinzani wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Majaji wa Algeria wamesusia mkutano wa kimataifa huko Tel Aviv, huku wakibainisha sababu ya hatua hiyo ni upinzani wao kwa mkakati wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475802    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

u
TEHRAN (IQNA)- Shule ya mtandaoni ya kufundisha Qur'ani Tukufu na lugha ya Kiarabu kwa raia wa Algeria wanaoishi katika nchi mbalimbali za dunia ilizinduliwa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii.
Habari ID: 3475664    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22

Kususia utawala wa Kizayuni wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wamempongeza mmoja wa wanamichezo shujaa wa Algeria ambaye amekataa kwenda kucheza mpira katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel ikiwa ni kuendeleza harakati ya kimataifa ya kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestinaa na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475552    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/29

Tarjuma ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Tarjuma mpya ya Qur’ani Tukufu kwa lugya ya Kifaransa imechapishwa nchini Algeria.
Habari ID: 3475370    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

TEHRAN (IQNA)- Wakazi wa kijiji cha Al-A'aija nchini Algeria wamemkaribisah kwa furaha Faisal Hajjaj, mkazi wa kijiji hicho ambaye aliibuka wa kwanza kitaifa katika mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya watoto.
Habari ID: 3475236    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11

TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Algeria imetangaza kuwa fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani nchini humo itafanyika kunazia tarehe 15 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475125    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/14

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini Algeria amesisitiza kuhusu nafasi muhimu ya misikiti katika kuzuia misimamo mikali ya kidini na utumiaji mabavu.
Habari ID: 3474962    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22

TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza katika historia ya Algeria, mwanamke mtangazaji habari amejitokeza akiwa amevaa Hijabu katika televisheni ya kitaifa.
Habari ID: 3474944    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo cha kuvurugika uhusiano wa nchi yake na Morocco.
Habari ID: 3474939    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia Algeria, ambao pia ni maarufu kama Masjid Djamaa el Djazaïr ni msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani. Mnara wake wenye urefu wa mita 267 ni moja kati ya minara mirefu zaidi duniani.
Habari ID: 3474864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA) – Shule za Qur'ani zimefungwa kwa muda wa siku 10 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474835    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Algeria yatafanyika kwa njia ya intaneti, imetangaza Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini humo.
Habari ID: 3474803    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

Mtaalamu mmoja wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria amesema kuwa wakoloni walitekeleza njama za makusudi za kudhoofisha nafasi na hadhi ya Qur'ani barani Afrika.
Habari ID: 3474758    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

TEHRAN (IQNA)- Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imeibuka mshindi katika mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu (FIFA Arab Cup 2021) yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo.
Habari ID: 3474695    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeipongeza Algeria kwa kupinga uanzishwaji uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474549    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13