iqna

IQNA

mustafa ismail
Qari Maarufu wa Misri
IQNA - Sheikh Mahmoud al-Bujairami alikuwa qari mashuhuri wa Misri ambaye alisafiri katika nchi nyingi za Kiislamu kwa ajili ya kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478207    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/17

Qarii Maarufu
IQNA - Disemba 26 ni kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.
Habari ID: 3478102    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Mkuu wa Redio ya Qur'an ya Cairo alieleza
Ridha Abdus Salam, mkuu wa Redio ya Qur'ani ya Cairo, amemtaja Sheikh Mustafa Ismail kuwa ni msomaji mahiri wa Qur'ani Tukufu ambaye usomaji wake uliteka nyoyo za wachamungu na kuacha hisia ya kudumu kwa wasikilizaji.
Habari ID: 3477617    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Ramadhani ni mwezi uliobarikiwa ambapo Mtume Muhammad SAW aliteremshiwa Qur’ani Tukufu. Ni mwezi ambao Waislamu hutumia muda mwingi kusoma na kutafakari kuhusu Qur’ani Tukufu. Ifuatayo ni kisomo cha qarii mashuhuri wa wa Misri marehemu Sheikh Mustafa Ismail kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476763    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/26

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /9
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mustafa Ismail anajulikana kama Akbar ul-Qurra (qarii mkubwa zaidi) kwa sababu aliathiri sana mtindo na usomaji wa wasomaji Qur'ani waliokuja baada yake.
Habari ID: 3476063    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

Usomaji Qur'ani (Qiraa)
TEHRAN (IQNA) - Kanda za video zimesambazwa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha usomaji wa aya za Qur'ani Tukufu wa marehemu Sheikh Mustafa Ismail aliyekuwa qarii bingwa wa Qur'ani Tukufu wa Misri
Habari ID: 3476046    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/06

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu wa Misri, Sheikh Mohamed Mukhtar Gomaa amesema Duru ya 29 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo limepewa jina la Qari bingwamarehemu Sheikh Mustafa Ismail.
Habari ID: 3476009    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/30

Qarii wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Klipu hii hapa chini inaonyesha qarii mtajika wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Mustafa Ismail akisoma aya yza 30-36 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475390    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Qur'an ya Ujerumani imesambaza klipu ya qiraa ya Qur'ani kumhusu Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- ambaye Wakristo wengi wanaamini alizaliwa Disemba 25 katika siku ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3473494    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) – Ustadh Ala Hassani, mjukuuu wa qarii au msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri Sheikh Mustafa Ismail amesembaza klipu ya qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472766    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

Mustafa Ismail
Habari ID: 3470383    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13