iqna

IQNA

FBI,
Waislamu Marekani
IQNA - Mashirika kadhaa ya Kiislamu ya Marekani yameanya kikao cha kwanza cha mafunzo ya aina yake kwa Idara ya Upelelezi Marekani-FBI- na Idara ya Sheria ya Marekani kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) huko San Francisco siku ya Jumanne.
Habari ID: 3478246    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Kiongozi mwandamizi wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) ameitaka Polisi ya Marekani FBI kuacha kufanya ujasusi ndani ya Misikiti nchini humo.
Habari ID: 1473495    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15