Wizara ya Afya ya Ghaza imethibitisha kuwa idadi ya waliofariki na kujeruhiwa Jumanne. Wizara ya mambo ya ndani ya Palestina pia imesema mashambulizi hayo yamesababisha vifo vya watu 400 au kujeruhiwa kwa jumla.
Iyad al-Bazum, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, pia alibainisha kuwa mabomu yaliyotengenezwa Marekani yalilenga nyumba za raia na kusababisha mauaji akiongeza kuwa makazi yote yameharibiwa katika shambulio hilo.
Amesema majengo yaliyobomolewa katika hujuma hiyo ya Israeli yalikuwa makazi ya mamia ya wananchi na kuongeza kuwa: "Jeshi la anga la utawala ghasibu wa Israel liliharibu wilaya hii kwa mabomu sita yaliyotengenezwa Marekani. Aidha ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa "kuchukua hatua mara moja kukomesha Israel kabla haijachelewa."