IQNA

Maandalizi ya Hija yaendelea vizuri Saudi Arabia

Maandalizi ya Hija yaendelea vizuri Saudi Arabia

IQNA - Huku zaidi ya Waislamu  ilioni 2 wakitarajiwa kuwasili baadaye mwezi huu kwa ajili ya ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka, wakuu wa Saudi Arabia wameimarisha maandalizi ya ibada hiyo ya kila mwaka.
21:14 , 2024 May 05
Malaysia kuwa mwenyeji wa mkutano viongozi wa kidini

Malaysia kuwa mwenyeji wa mkutano viongozi wa kidini

IQNA - Mji mkuu wa Malaysia wa Kuala Lumpur unatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa zaidi wa kimataifa wa viongozi wa kidini barani Asia.
20:51 , 2024 May 05
Mahujaji Wairani watakuwa kuzingatia Qur'ani, kutetea Umoja wa Waislamu

Mahujaji Wairani watakuwa kuzingatia Qur'ani, kutetea Umoja wa Waislamu

IQNA Afisa wa ngazi za juu wa Msafara wa Hija wa Iran amewataka Wairani wanaolekea katika ibada ya Hija mwaka huu kuzingatia zaidi Qur'ani Tukufu, masaibu yanayowakumba Waislamu wa Gaza na suala la umoja wa Waislamu wakiwa katika ibada ya Hija
20:37 , 2024 May 05
Wairani wanaoelekea Hija washiriki kikao cha mafunzo mjini Tehran

Wairani wanaoelekea Hija washiriki kikao cha mafunzo mjini Tehran

IQNA - Maelfu ya mahujaji kutoka Tehran ambao wanatazamiwa Kuhiji mwaka huu walihudhuria mafunzo Mei 4, 2024, katika ukumbi wa viti 12,000 wa Uwanja wa Azadi.
14:34 , 2024 May 05
Kikao cha 15 cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu kinafanyika Gambia

Kikao cha 15 cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu kinafanyika Gambia

IQNA-Mkutano wa 15 wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Gambia, Banjul.
14:23 , 2024 May 05
Uharibifu uliosababishwa na Israel Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia

Uharibifu uliosababishwa na Israel Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia

IQNA-Afisa wa Umoja wa Mataifa anasema uharibifu uliosababishwa na vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia, huku akikadiria kuwa ujenzi mpya wa eneo hilo la Palestina unaweza kuchukua miaka 80 na kugharimu hadi dola bilioni 40.
18:47 , 2024 May 04
Qari maarufu wa Iran akisoma ya za Qur'ani Tukufu Surah Al-Ahzab + Klipu

Qari maarufu wa Iran akisoma ya za Qur'ani Tukufu Surah Al-Ahzab + Klipu

IQNA – Qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Parsa Angoshtan katika klipu hii anasoma aya za 21-24 za Surah Al-Ahzab.
18:40 , 2024 May 04
Qari Abolqassemi wa Iran ahudhuria Maonyesho ya Kwanza ya Qur'ani Kabul

Qari Abolqassemi wa Iran ahudhuria Maonyesho ya Kwanza ya Qur'ani Kabul

IQNA – Qari maarufu wa Iran na mwalimu wa Qur’ani Ustadh Ahmad Abolqassemi amehudhuria toleo la kwanza la maonyesho ya Qur’ani ya Kabul.
18:36 , 2024 May 04
Qur'ani Tukufu yaendelea kuvunjiwa heshima Uswidi

Qur'ani Tukufu yaendelea kuvunjiwa heshima Uswidi

IQNA-Mji wa Malmö nchini Uswidi au Sweden kwa mara nyingine umeshuhudia kkuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu. Kitendo hicho cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu kimefanywa kwa ulinzi kamili wa polisi wa nchi hiyo na pia usimamizi wa jukwaa wa Wazayuni.
18:30 , 2024 May 04
Russia yaafiki wanawake Waislamu wanaoomba uraia kuvaa Hijabu wakipigwa picha

Russia yaafiki wanawake Waislamu wanaoomba uraia kuvaa Hijabu wakipigwa picha

IQNA-Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
18:27 , 2024 May 04
Msomi: Imam Sadiq (AS) alihuisha mafundisho ya Kiislamu

Msomi: Imam Sadiq (AS) alihuisha mafundisho ya Kiislamu

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu amesema Imam Sadiq (AS) alikuwa na nafasi muhimu katika kuhifadhi Uislamu na kuhuisha mafundisho ya Kiislamu kwa kuwafunza wanafunzi na kuiongoza jamii katika mwelekeo sahihi.
18:24 , 2024 May 04
Wakati Qari Al-Saadani wa Misri alipoacha kushirikiana na Redio ya Qur'ani

Wakati Qari Al-Saadani wa Misri alipoacha kushirikiana na Redio ya Qur'ani

IQNA: Sheikh Ahmed Suleiman al-Saadani alikuwa qari mashuhuri wa Misri na miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kurekodi kisomo chake.
14:50 , 2024 May 03
Msomi wa Lebanon: Shahidi Motahhari alipinga madai ya Wayahudi kuhusu umiliki  wa Palestina

Msomi wa Lebanon: Shahidi Motahhari alipinga madai ya Wayahudi kuhusu umiliki wa Palestina

IQNA – Ustadh Shahidi Murtadha Motahhari, katika hotuba na maandishi yake, alipinga vikali upotoshaji wa historia kwamba eti ardhi ya Palestina ni milki ya Wayahudi.
14:36 , 2024 May 03
Saudi Arabia yasema Kadi ya Nusuk itawezesha harakati za Mahujaji

Saudi Arabia yasema Kadi ya Nusuk itawezesha harakati za Mahujaji

IQNA – Saudi Arabia imezindua kadi ya Nusuk siku ya Jumanne, ikisema kwamba itawezesha harakati za Mahujaji wote katika maeneo matakatifu.
14:21 , 2024 May 03
Mtazamo wa Qur'ani kuhusu umuhimu wa kuepuka hofu katika nidhamu ya kihisia

Mtazamo wa Qur'ani kuhusu umuhimu wa kuepuka hofu katika nidhamu ya kihisia

IQNA – Mwenyezi Mungu amewahimiza watu waepuke hofu isiyo na msingi, kama vile kuwaogopa wengine, na ametuamrisha kuwa na Khashiya (unyenyekevu) kwake tu, na iwapo mwanadamu atafuata muongozo huu basi atajiepusha na fedheha na udhalilishaji wowote.
14:12 , 2024 May 03
2