IQNA

Matembezi ya Siku ya Ashura Yafanyika Nchini Kenya

Matembezi ya Siku ya Ashura Yafanyika Nchini Kenya

Matembezi ya Siku ya Ashura yamefanyika Jumapili katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na mji mdogo wa Witi katika Kaunti ya Lamu nchini Kenya, yakihudhuriwa na wapenzi wa Ahlul Bayt (AS). Klipu za video hapa chini ni za matembezi ya Ashura jijini Nairobi huku picha zikiwa za mjumuiko sawa na huo huko Witu kaunti ya Lamu.
14:10 , 2025 Jul 07
Msimamo wa Imam Hussein (AS) ni kielelezo cha kupinga dhulma ya zama hizi

Msimamo wa Imam Hussein (AS) ni kielelezo cha kupinga dhulma ya zama hizi

IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa mwamko wa Imam Hussein (AS) dhidi ya Yazid bin Muawiya unabaki kuwa mfano wa milele wa kupambana na dhulma za zama hizi na uonevu wa kimataifa.
19:29 , 2025 Jul 06
Mjumbe wa UN: Karbala ina nafasi maalum mioyoni mwa wote

Mjumbe wa UN: Karbala ina nafasi maalum mioyoni mwa wote

IQNA – Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq una nafasi ya kipekee katika mioyo ya watu wote.
19:06 , 2025 Jul 06
Nimerudi Nyumbani’: Bingwa wa Dunia Fred Kerley asema  baada kuukumbatia Uislamu

Nimerudi Nyumbani’: Bingwa wa Dunia Fred Kerley asema baada kuukumbatia Uislamu

IQNA – Nyota wa Marekani katika mchezo wa riadha, Fred Kerley, ametangaza kuingia katika Uislamu, akishiriki tukio hilo takatifu kupitia video aliyopakia kwenye Instagram.
18:53 , 2025 Jul 06
Waislamu waadhimisha Siku ya Ashura, kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein (AS)

Waislamu waadhimisha Siku ya Ashura, kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein (AS)

IQNA-Jumapili ya leo ya tarehe 6 Julai inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1447 Hijria, siku ya A'shura ya kukumbuka kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhamma (SAW), mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Hussein (AS).
18:23 , 2025 Jul 06
Maombolezo Makubwa Yafanyika Usiku wa Ashura huko Karbala

Maombolezo Makubwa Yafanyika Usiku wa Ashura huko Karbala

IQNA-Maelfu kwa maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika mji mtukufu wa Karbala nchini Iraq, usiku wa Ashura, kuadhimisha kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (AS), katika mojawapo ya hafla kubwa zaidi za kidini katika kalenda ya Kiislamu.
18:09 , 2025 Jul 06
Ayatullah Khamenei ahudhuria majlisi ya maombolezo ya usiku wa Ashura mjini Tehran

Ayatullah Khamenei ahudhuria majlisi ya maombolezo ya usiku wa Ashura mjini Tehran

Shughuli ya maombolezo ya usiku wa Ashura ilifanyika jioni ya jana Jumamosi katika Husseiniya ya Imam Khomeini mjini Tehran, ikihudhuriwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na mkusanyiko mkubwa wa watu wa matabaka mbalimbali.
17:47 , 2025 Jul 06
Raj’a ya Imam Hussein (AS): Muendelezo wa Nusra ya Mwenyezi Mungu kwa Manabii na Waumini

Raj’a ya Imam Hussein (AS): Muendelezo wa Nusra ya Mwenyezi Mungu kwa Manabii na Waumini

IQNA – Nusra ya Mwenyezi Mungu hujitokeza kwa namna mbalimbali kwa manabii wa Mwenyezi Mungu na waumini wa kweli.
11:45 , 2025 Jul 06
Hizbullah yasisitiza kuwa haitajisalimisha

Hizbullah yasisitiza kuwa haitajisalimisha

IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amekataa wazo la kusalimisha au kuachana na silaha za harakati hiyo ya mapambano, akisema kuwa wanaotaka hilo wanapaswa kwanza kulaani na kutaka mwisho wa uvamizi wa Israeli dhidi ya Lebanon.
19:07 , 2025 Jul 05
Kuuawa Shahidi Siyo Mwisho Bali Ni Mwanzo wa Kuamsha Mataifa

Kuuawa Shahidi Siyo Mwisho Bali Ni Mwanzo wa Kuamsha Mataifa

IQNA – Utamaduni wa Ashura hauangalii kufa shahidi kama mwisho wa safari bali ni mwanzo wa kuamsho wa mataifa, amesema mwanazuoni kutoka Iran.
18:47 , 2025 Jul 05
Haram ya Imam Hussein (AS) imeandaa tukio la Tuwairaj siku ya Ashura

Haram ya Imam Hussein (AS) imeandaa tukio la Tuwairaj siku ya Ashura

IQNA – Wasimamizi wa Haram ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq wametangaza kukamilika kwa maandalizi katika milango yote ya kuingilia kaburi hilo takatifu  kwa ajili ya kuwapokea waumini wanaoshiriki katika tukio la kuomboleza linalojulikana kama Tuwairaj.
18:29 , 2025 Jul 05
Askari 40 Waisraeli waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Gaza

Askari 40 Waisraeli waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Gaza

IQNA-Kamanda mwandamizi wa Sarayal-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ametangaza kuwa, askari wapatao 40 wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameuawa au kujeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyoratibiwa na wapiganaji wa Muqawama mashariki ya Ghaza.
18:15 , 2025 Jul 05
Faida za Imani ya Raj’a katika mwamko wa Imam Hussein (AS)

Faida za Imani ya Raj’a katika mwamko wa Imam Hussein (AS)

IQNA – Imani juu ya Raj’a (kurejea duniani) katika mwamko wa Imam Hussein (AS) pamoja na masahaba wake waaminifu, hubeba baraka nyingi za kiroho na maadili.
09:48 , 2025 Jul 05
Msomi maarufu wa Qur'ani Iran, Seyyed Mohammad Baqer Hojjat afariki akiwa na umri wa miaka 92

Msomi maarufu wa Qur'ani Iran, Seyyed Mohammad Baqer Hojjat afariki akiwa na umri wa miaka 92

IQNA - Mwanachuoni mashuhuri wa Qur'ani na Hadithi wa Iran, Hujjatul slam Dk. Seyyed Mohammad Baqer Hojjat, anayejulikana sana kama "Baba wa Sayansi ya Qur'ani nchini Iran," amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92, siku ya Alhamisi.
19:05 , 2025 Jul 04
Mifumo ya kupunguza joto  katika Haram ya Imam Hussein (AS) wakati wa Muharram

Mifumo ya kupunguza joto  katika Haram ya Imam Hussein (AS) wakati wa Muharram

IQNA – Idara ya kiufundi na uhandisi ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq imetangaza kutekelezwa kwa mradi maalumu wa kiyoyozi unaolenga kuwawekea mazingira mazuri kwa ajili ya wafanyaziara ji katika siku za maombolezo ya Muharram.
18:53 , 2025 Jul 04
5