IQNA

Mwanamke Muislamu ashambuliwa Canada, avuliwa Hijabu  katika hujuma ya huki

Mwanamke Muislamu ashambuliwa Canada, avuliwa Hijabu katika hujuma ya huki

IQNA – Mwanamke Muislamu alishambuliwa kwa ukatili mahali pake pa kazi huko Oshawa, Ontario, Canada katika tukio ambalo viongozi wa jamii wanaitaka polisi kulichunguza kama jinai ya chuki.
18:30 , 2025 Jul 04
Ufaransa yashuhudia kuongezeka kwa Matukio ya Chuki Dhidi ya Waislamu mwaka 2025

Ufaransa yashuhudia kuongezeka kwa Matukio ya Chuki Dhidi ya Waislamu mwaka 2025

IQNA – Mamlaka za Ufaransa zimeripoti ongezeko la asilimia 75 la matukio ya chuki dhidi ya Waislamu katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka 2025, huku mashambulizi dhidi ya watu binafsi yakiongezeka mara tatu ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.
18:21 , 2025 Jul 04
Ansarullah ya Yemen: Wazayuni wanaendeleza ukatili wao huko Gaza bila huruma

Ansarullah ya Yemen: Wazayuni wanaendeleza ukatili wao huko Gaza bila huruma

IQNA – Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amelaani kuendelea kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina, huku jumuiya ya kimataifa ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote.
18:13 , 2025 Jul 04
Wahifadhi wawili wa Qur’ani kuwakilisha Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Saudia

Wahifadhi wawili wa Qur’ani kuwakilisha Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Saudia

IQNA – Iran imetangaza majina ya wawakilishi wake katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayoandaliwa nchini Saudi Arabia.
22:35 , 2025 Jul 03
Sheikh Issa Qassim: Vitisho dhidi ya Ayatullah Khamenei ni sawa na kuuvunjia heshima Umma wa Kiislamu

Sheikh Issa Qassim: Vitisho dhidi ya Ayatullah Khamenei ni sawa na kuuvunjia heshima Umma wa Kiislamu

IQNA: Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amelaani vikali kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kumvunjia heshima na kumtishia Ayatullahil udhma Sayyid Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
22:16 , 2025 Jul 03
Kiongozi wa Hizbullah: Utawala wa Israel umekiuka mapoatano ya usitihaji vita  zaidi ya mara 3,700.

Kiongozi wa Hizbullah: Utawala wa Israel umekiuka mapoatano ya usitihaji vita zaidi ya mara 3,700.

IQNA-Sheikh Naim Qassem, kiongozi wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ameeleza kuwa Israel si tu kuwa inaikalia kwa mabavu Palestina bali ni tishio la kimkakati kwa Lebanon, Misri, Syria, Jordan, na ni tishio pia kwa amani na usalama wa kanda hii na dunia nzima kwa ujumla.
22:12 , 2025 Jul 03
Yale Qur’ani inasema kuhusu dhulma aliyoipata Imam Hussein (AS)

Yale Qur’ani inasema kuhusu dhulma aliyoipata Imam Hussein (AS)

IQNA – Dhulma aliyoipata Imam Hussein (AS) ni ya wazi na ya kina kiasi kwamba inaweza kuchukuliwa kuwa ni taswira halisi ya baadhi ya aya tukufu za Qur’ani.
22:02 , 2025 Jul 03
Al-Ghamama; Msikiti wa Mawingu na Mvua

Al-Ghamama; Msikiti wa Mawingu na Mvua

IQNA – Msikiti wa Al-Ghamama ni msikiti uliopo Madina ambapo Mtume Mtukufu (SAW) aliomba dua ya mvua. Mtume Muhammad (SAW) aliswali swala ya mvua mahali hapa wakati wa ukame. Kabla ya kumaliza swala lake mawingu yalijitokeza na mvua ikaanza kunyesha. Kwa hivyo, mahali hapa pakaitwa Ghamama, yaani “mawingu.” Mtume Mwenyezi Mungu, Muhammad (SAW) pia aliongoza swala mbili za Eid al-Fitr na Eid al-Adha katika msikiti huu.
16:45 , 2025 Jul 02
Ayatullah Makarem Shirazi:Mtazamo wa Magharibi kuhusu haki za binadamu hauna msingi wala maana

Ayatullah Makarem Shirazi:Mtazamo wa Magharibi kuhusu haki za binadamu hauna msingi wala maana

IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Iran amekosoa mtazamo wa Magharibi kuhusu haki za binadamu na kusema “hauna msingi na hauna maana,” akibainisha kuwa mtazamo wao ni wa maslahi binafsi tu.
16:42 , 2025 Jul 02
Rais wa Uturuki akosoa picha ya kuvunjia heshima dini

Rais wa Uturuki akosoa picha ya kuvunjia heshima dini

IQNA – Kibonzo kilichoonekana kuwataja Manabii wa Mwenyezi Mungu kwa njia ya dhihaka kiliibua lawama nyingi nchini Uturuki, ikiwemo kutoka kwa Rais wa nchi hiyo.
16:32 , 2025 Jul 02
Wanawake Waislamu Marekani wawasilisha mashtaka baada ya kuvuliwa Hijabu  wakati wa maandamano

Wanawake Waislamu Marekani wawasilisha mashtaka baada ya kuvuliwa Hijabu wakati wa maandamano

IQNA – Mwanamke wawili Waislamu nchini Marekani wamewasilisha kesi dhidi ya Kaunti ya Orange na idara yake ya sheriff, wakidai kuwa maafisa walilazimisha kuondolewa kwa hijabu zao wakati wa kuwatia mbaroni katika maandamano ya mwaka 2024 huko UC Irvine.
16:24 , 2025 Jul 02
Mapinduzi ya Imam Hussein (AS) yalikuwa ni kusimama dhidi ya unafiki na dhulma

Mapinduzi ya Imam Hussein (AS) yalikuwa ni kusimama dhidi ya unafiki na dhulma

IQNA – Mwanazuoni mashuhuri kutoka Iran amesisitiza umuhimu mkubwa wa mapinduzi ya Imam Hussein (AS) katika kufufua uhai wa Uislamu wa kweli na kufichua unafiki uliokuwa umejificha ndani ya umma wa Kiislamu.
16:12 , 2025 Jul 02
Indonesia kuendeleza msaada kwa shule za Kiislamu licha ya upungufu wa bajeti

Indonesia kuendeleza msaada kwa shule za Kiislamu licha ya upungufu wa bajeti

IQNA – Serikali ya Indonesia imeahidi kuwa changamoto za bajeti hazitasababisha kusitishwa kwa msaada kwa shule za Kiislamu nchini humo.
15:51 , 2025 Jul 02
Viongozi wa Ulaya waaswa kukomesha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu

Viongozi wa Ulaya waaswa kukomesha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya misikiti nchini Uingereza na Ufaransa, viongozi wa Ulaya wametakiwa kuacha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu.
23:00 , 2025 Jul 01
Rais wa Iran: Mienendo ya kindumakuwili ya IAEA inasababiisha changamoto kubwa duniani

Rais wa Iran: Mienendo ya kindumakuwili ya IAEA inasababiisha changamoto kubwa duniani

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mienendo ya hivi karibuni ya kindumakuwili ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) inatia wasiwasi na inasababiisha changamoto kubwa kwa imani ya umma ya taifa la Iran."
22:46 , 2025 Jul 01
6