IQNA

Hizbullah yalaani Mauaji ya Sheikh Shahoud wa Syria, yasema yamelenga kuvuruga umoja

Hizbullah yalaani Mauaji ya Sheikh Shahoud wa Syria, yasema yamelenga kuvuruga umoja

IQNA-Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kiongozi maarufu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Rasoul Shahoud, aliyeuawa katika shambulizi lililotokea katika mkoa wa Homs, Syria ya kati.
15:34 , 2025 Jul 13
Kuhifadhi Qur’ani kumeleta maana na utulivu maishani, asema Mama Muislamu wa Iran

Kuhifadhi Qur’ani kumeleta maana na utulivu maishani, asema Mama Muislamu wa Iran

IQNA – Zohreh Qorbani, mama mchanga kutoka Iran, asema kuwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumemletea mpangilio, utulivu wa moyo, na uwazi wa kiroho katika maisha yake ya kila siku licha ya changamoto anazokumbana nazo.
15:30 , 2025 Jul 13
Mwanamke Mrusi aliyesilimu afafanua alivyopambana na saratani kwa nguvu ya Imani

Mwanamke Mrusi aliyesilimu afafanua alivyopambana na saratani kwa nguvu ya Imani

IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo mkubwa na hatimaye yakamfikisha katika Uislamu, ambapo alianzisha taasisi ya Mila For Africa Foundation, inayosaidia watoto wasiojiweza nchini Senegal.
15:21 , 2025 Jul 13
Marufuku ya maombolezo ya Muharram yaripotiwa tena nchini Bahrain

Marufuku ya maombolezo ya Muharram yaripotiwa tena nchini Bahrain

IQNA – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mamlaka za Bahrain zimeendelea kuweka vizuizi juu ya maombolezo ya Muharram, hasa katika siku ya Ashura, mwaka huu pia.
15:08 , 2025 Jul 13
Karbala yaandaa Mashindano ya Usomaji wa Qur'ani kwa Watoto

Karbala yaandaa Mashindano ya Usomaji wa Qur'ani kwa Watoto

IQNA – Mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa tarteel kwa watoto yamefanyika mjini Karbala, yakiandaliwa na Jumuiya ya Sayansi za Qur’ani ya Haram ya Hazrat Abbas (AS).
15:01 , 2025 Jul 13
Waislamu wakosoa kuvunjiwa heshima, Mamdani, Muislamu anayewania umeya wa New York

Waislamu wakosoa kuvunjiwa heshima, Mamdani, Muislamu anayewania umeya wa New York

IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeitaka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia Capital kumwondoa mshirika wake Shaun Maguire, kufuatia chapisho la mitandao ya kijamii lililokosolewa vikali kwa kuendeleza chuki dhidi ya Waislamu.
22:40 , 2025 Jul 12
Srebrenica  yaadhimisha miaka 30 tangu mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia

Srebrenica yaadhimisha miaka 30 tangu mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia

IQNA – Maelfu ya watu wamekusanyika Srebrenica siku ya Alhamisi kuadhimisha miaka 30 tangu mauaji ya kimbari ya mwaka 1995, ambapo miili ya wahanga saba waliotambuliwa hivi karibuni imezikwa katika Makaburi ya Ukumbusho ya Potočari.
22:24 , 2025 Jul 12
Maktaba ya Msikiti wa Mtume yatoa huduma kwa watafiti na wageni

Maktaba ya Msikiti wa Mtume yatoa huduma kwa watafiti na wageni

IQNA – Maktaba ya Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi mjini Madina inafanya kazi kama taasisi ya umma inayotoa huduma mbalimbali kwa watafiti na wageni wanaovutiwa na turathi za Kiislamu.
21:47 , 2025 Jul 12
Polisi wa Uingereza Wachunguza Tukio la Matusi ya Maneno Nje ya Msikiti wa Suffolk

Polisi wa Uingereza Wachunguza Tukio la Matusi ya Maneno Nje ya Msikiti wa Suffolk

IQNA – Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kupitia kamera za usalama (CCTV) kufuatia tukio lililoripotiwa la matusi ya maneno dhidi ya waumini nje ya msikiti ulioko Haverhill, Suffolk.
21:25 , 2025 Jul 12
Mashekhe wa Ulaya waliopotea wakosolewa vikali kwa kutembelea Israel kukiwa na mauaji ya kimbari Gaza

Mashekhe wa Ulaya waliopotea wakosolewa vikali kwa kutembelea Israel kukiwa na mauaji ya kimbari Gaza

IQNA – Kundi la watu wanaojiita viongozi wa Kiislamu na maimamu wa jamii za Waislamu barani Ulaya limekumbwa na ukosoaji mkali baada ya kufanya ziara katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu wiki hii, wakati ambapo utawala wa Kizayuni unaendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.
11:14 , 2025 Jul 12
Mahafali ya Kujikurubisha na Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la “Kuelekea Ushindi”

Mahafali ya Kujikurubisha na Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la “Kuelekea Ushindi”

Jamii ya Qur’ani Tukufu nchini Iran imejumuika katika Mahafali ya Qur’ani Tukufu iliyofanyika Alhamisi, tarehe 11 Julai, jijini Tehran, chini ya anuani “Kuelekea Ushindi”. Katika mkusanyiko huo, hadhirina waliwakumbuka na kuwaenzi mashahidi wa mapambano, na wakaahidi tena uaminifu wao kwa malengo matukufu ya makamanda waliouawa shahidi pamoja na mashujaa wa vita vya siku 12.
10:49 , 2025 Jul 12
Kaaba Tukufu yasafishwa katika tukio la kila mwaka

Kaaba Tukufu yasafishwa katika tukio la kila mwaka

IQNA – Msikiti Mtukufu wa Makka uliangaziwa na tukio la kipekee Alhamisi, ambapo shughuli ya kila mwaka ya kuosha Kaaba (Ghusl ya Kaaba) ilitekelezwa kwa heshima na taadhima kubwa.
11:00 , 2025 Jul 11
Ustadh Abolqasemi asoma Aya za Surah Al-Imran katika Khitma ya Mashujaa wa Iran

Ustadh Abolqasemi asoma Aya za Surah Al-Imran katika Khitma ya Mashujaa wa Iran

IQNA – Qari maarufu wa Iran, Ustadh Ahmad Abolqsemi, alisoma kwa umahiri aya za Qur'ani Tukufu za 138 hadi 150 za Surah Al-Imran katika hafla maalum iliyofanyika Tehran mnamo Julai 10, 2025, kwa ajili ya Khitma ya mashahidi waliouawa katika uvamizi wa hivi karibuni wa siku 12 wa pamoja wa Marekani na Israel dhidi ya Iran.
10:50 , 2025 Jul 11
Mkataba wa Amani wa Hudaybiyyah: Dira ya Mkakati wa Mtume Muhammad (SAW) katika kukuza Uislamu

Mkataba wa Amani wa Hudaybiyyah: Dira ya Mkakati wa Mtume Muhammad (SAW) katika kukuza Uislamu

IQNA – Mkataba wa Amani wa Hudaybiyyah uliosainiwa mwaka wa 6 AH (628 Miladia), uligeuka kuwa hatua ya kihistoria iliyoimarisha Uislamu kwa kubadilisha mvutano mkubwa kuwa mafanikio ya kidiplomasia yenye athari za muda mrefu, kwa mujibu wa msomi mmoja kutoka Iran.
10:42 , 2025 Jul 11
Wahudumu wa afya Waislamu Australia wakumbwa na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu

Wahudumu wa afya Waislamu Australia wakumbwa na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Utafiti mpya umeonesha ongezeko la chuki na chuki dhidi Uislamu (Islamofobia) dhidi ya wahudumu wa afya Waislamu nchini Australia, hali inayowaathiri kisaikolojia kwa kiwango kikubwa.
10:24 , 2025 Jul 11
3